lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Niliona tangazo la hii ofa yao ya uongo, sikukurupuka, nikauliza zaidi na zaidi kwa wakala wao, akanihakikishia ni kweli na kujiapiza, si ndo nikanunua nimetumia wiki tu tena kusoma email na kuperuzi sites eti wananiletea ujumbe niongeze pesa! jamani watanzania mbona tunaonewa live live na kuibiwa hadharani? Mamlaka ya mawasiliano mpo? Yaani wamenikera mpaka basi, wizi wa mchana kabisa huu, tena utapeli wao wanautangaza hadi kwenye tv!!!!