airtel money...

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Wakala amepewa pesa atume kwenye namba f'lani, aliyempa akishuhudia, baadae...aliyetumiwa hajaona chochote, wakala? Anadai kwake salio limepungua hivyo pesa ilikwenda, SMS ya ushahidi? Hakuna. "Wapigie airtel customer care kwenye namba 100", hakuna maelezo yaliyonyooka, kila unayefanikiwa kuzungumza nae ana maelezo tofauti na mwenzie kuhusu hiyo issue moja, na wanakata Tsh 54/- kwa kila muito baada ya ule wa mwanzo. Elfu hamsini (50,000/-) haziko kwa wakala, haziko kwa aliyetumiwa. Ziko wapi? Na kama mtandao ulizingua, hazirudi kwa wakala?
 
Wizi mtupu! Ila ungeweka namba ya wakala ili liwe fundisho kwa wengine. Pole sana The Son.
 
Last edited by a moderator:
Tanzania hakuna majambazi kama makampuni ya simu. Sijui ni kwa sababu wakubwa wetu majambazi wana hisa mle hata sijui ni kwanini. Hebu angalia January Makamba pale na dada yake kule hivi kweli hapa hakuna mgongano wa kimaslahi au wanasimamia hisa za baba yao? Kila sehemu ni hivyo hivyo. Shame on Airtell and all telephone companies fleecing my people.
 
siku nyingine mkienda kwa wakala hizo pesa ingiza kwenye akaumti yako then wewe ndo umtumie.....

Kama huna tuma kutoka mtandao wako kwenda mtandao wake (sijui airtel inakubali)

hii huepusha ujanja ujanja wa wakala
 
wizi! wizi! Wakala amepewa pesa atume kwenye namba f'lani, aliyempa akishuhudia, baadae...aliyetumiwa hajaona chochote, wakala? Anadai kwake salio limepungua hivyo pesa ilikwenda,SMS ya ushahidi? Hakuna. "Wapigie airtel customer care kwenye namba 100, hakuna maelezo yaliyonyooka, kila unayefanikiwa kuzungumza nae ana maelezo tofauti na mwenzie kuhusu hiyo issue moja, na wanakata Tsh 54/- kwa kila muito baada ya ule wa mwanzo.Elfu hamsini haziko kwa wakala, (50,000/-) haziko kwa aliyetumiwa. Ziko wapi? Na kama mtdandao ulizingua, hazirudi kwa wakala?

Hata mimi nimekumbana na hilo tatizo toka juzi nina ugomvi na hao airtel nimelipia dstv toka juzi tarehe 26 hadi hivi sasa sijapata huduma.Kwenye akaunti yangu pesa imekatwa kiasi cha sh 128000/=lakini kwenye akaunti yangu ya dstv pesa haijatumwa/haijaingizwa kila nikipiga toka juzi ni mizunguko tu mara subili masaa mawili mara dakika 45 mara masaa24 mara tutskupigia simu yaani inaudhi sana.
 
Kila ninapowapigia wananiambia suala tumekwishalifikisha kwa wahusika wahusika hao ni akina nani? Ambao hawatatui matatizo ya wateja mara wanadai system ina matatizo kwa nini wasiwe wanatuma ujumbe wa sms kwa wateja ukiwajulisha kuwa MFUMO WETU UNA MATATIZO HIVYO UNASHAURIWA KUTOTUMA PESA HADI HAPO TUTAKAPOWAJULISHA wao wanakaa kimya tu sijui wanazithamini vipi pesa za wateja wao.Kwanza mawakala wao hawana salio la kutosha ukitaka kutuma sh laki mbili hadi udundulize ndo utume
 
mmebabaishwa na kale katangazo ka kutuma bure? jua kuwa no free lunch... sitakaa nidanganyike na airtel money...marazote ntatumia tigo pesa au m pesa. airtel money ni wezi mara wajiite zap...?
 
wizi! wizi! Wakala amepewa pesa atume kwenye namba f'lani, aliyempa akishuhudia, baadae...aliyetumiwa hajaona chochote, wakala? Anadai kwake salio limepungua hivyo pesa ilikwenda,SMS ya ushahidi? Hakuna. "Wapigie airtel customer care kwenye namba 100, hakuna maelezo yaliyonyooka, kila unayefanikiwa kuzungumza nae ana maelezo tofauti na mwenzie kuhusu hiyo issue moja, na wanakata Tsh 54/- kwa kila muito baada ya ule wa mwanzo.Elfu hamsini haziko kwa wakala, (50,000/-) haziko kwa aliyetumiwa. Ziko wapi? Na kama mtandao ulizingua, hazirudi kwa wakala?

M-PESA NDO MAMBO YOTE BHANA.............................!:becky::becky::becky:
 
M-pesa ndio mpango mzima huko airtel mnatafuta matatizo buure!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hakuma huduma ya bure
 
siku nyingine mkienda kwa wakala hizo pesa ingiza kwenye akaumti yako then wewe ndo umtumie.....

Kama huna tuma kutoka mtandao wako kwenda mtandao wake (sijui airtel inakubali)

hii huepusha ujanja ujanja wa wakala

Umesomeka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom