Airtel Money Tanzania wanachukua muda mrefu kurudisha muamala wa mteja

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,078
2,000
Kwema wandugu:

kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa.

1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake.

2. Tuna omba majibu au ndo mnatupia fixed account yan laki tano yangu ina week sasa bado hamjarudisha.
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,889
2,000
Warudishe hiyo pesa, waache uhuni! Kumpigia simu muhusika ni muhimu, lakini kama baada ya wiki bado hapokei basi warudishe tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom