Airtel money Tanzania bado hawajaweka commission za mwisho wa mwezi wa 12

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Ndugu zetu Airtel money, mbona mpaka leo hii hamjaweka commission za mwisho wa mwezi wa 12...shida nini???? Kimya sana mnatupa maswali mengi sisi mawakala.
 
Kweli ndo nataka na mm nifungue huduma ya kifedha mkui naweza ukanipa budget plan ili niandae kiasi gani
Kwa ufupi ishi za uwakala inahitaji location nzuri kwa nia ya kuwa na wateja wakuweka na kutoa wengi....cha 2 mtaji kama wa 2m ili wateja wakuweka na toa pesa wasikose cash na float zen mzunguko wa transaction ukiwa mkubwa ndio commission yako mwisho wa mwezi ina kuwa nyingi and viseversa is true.
 
Naomba gharama za line zote na usajili mkuu
 
Gharama n kutafuta Tin number halmashauri na leseni ya biashara TRA. Zen unawafata company husika kwa nia ya kukutengenezea lain ya uwakala.
Sorry tin number n TRA na leseni ya biashara n halmashauri.
 
Jaman tunashukuru ujumbe umefika na wahusika wameweka mzigo mda huu.
 
Tunawashukuru airtel money kwa kuweka mzigo mapema...hongereni sana.
 
Back
Top Bottom