Airtel Money sasa inanipa mashaka

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Hi,
Sio mara moja, ni zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja airtel imekua ikiniweka roho juu. Nishawahi kulipia bundle la king'amuzi cha Azam kwa airtel money, ilichukua 5 days kuunganishwa na Azam. Kwa madai wao Azam hawawezi kuniunganisha mpaka wapate malipo kutoka Airtel Money. Kwa siku tano sikuweza kuangalia taarifa za habari, mpira movies n.k

Leo tena natuma pesa kwenda Vodacom (M pesa) ni shida. Aliyetumiwa hajapata, nishapiga simu kibao huduma kwa wateja, eti wananiambia pesa imerudishwa kwenye account yako wakati huku napata zero tu.

Ninachoumia zaidi kuna wahudumu wengine hawanipi matumaini ya kupata huduma kwa wakati. Sasa sielewi huu mtandao sasa ndo umeshindwa kabisa katika huduma za pesa au ni nini?

Nyie wakuu nanyi mwakutana na kero hizi......?
 
Hi,

Sio mara moja, ni zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja airtel imekua ikiniweka roho juu,...
Nishawahi kulipia bundle la king'amuzi cha Azam kwa airtel money, ilichukua 5 days kuunganishwa na Azam, kwa madai wao Azam hawawezi kuniunganisha mpk wapate malipo kutoka airtel Money, .. Kwa siku tano sikuweza kuangalia taarifa za habari, mpira movies n.k.......l
Leo tena natuma pesa kwenda VodaCom (m pesa) ni shida,.. Aliyetumiwa hajapata, nishapiga cm kibao huduma kwa wateja, eti wananiambia pesa imerudishwa kwenye account yako, huku napata zero tu... Ninachoumia zaidi Kuna wahudumu wengine hawanipi matumaini ya kupata huduma kwa wakati.... Sasa sielewi huu mtandao sasa ndo umeshindwa kabisa ktk huduma za pesa au ni nn?

Nyie wakuu nanyi mwakutana na kero hizi......?
vituko ka upo ndoani,kwani lazima uwe nao kama huduma zao hazikidhi viwango uvitakavyo?
 
Kati ya watoa huduma za pesa ktk mitandao ya simu. Airtel wako poa ile mbaya. Huenda ktk makazi yako kuna shida ya mtandao labda.
 
mimi leo ni siku ya 10 nimenunua luku sijapata naambiwa ile yako haijatumwa nikiangalia salio ni sh.000 afadhali airtel kuliko vodacom
 
Hi,
Sio mara moja, ni zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja airtel imekua ikiniweka roho juu. Nishawahi kulipia bundle la king'amuzi cha Azam kwa airtel money, ilichukua 5 days kuunganishwa na Azam. Kwa madai wao Azam hawawezi kuniunganisha mpaka wapate malipo kutoka Airtel Money. Kwa siku tano sikuweza kuangalia taarifa za habari, mpira movies n.k

Leo tena natuma pesa kwenda Vodacom (M pesa) ni shida. Aliyetumiwa hajapata, nishapiga simu kibao huduma kwa wateja, eti wananiambia pesa imerudishwa kwenye account yako wakati huku napata zero tu.

Ninachoumia zaidi kuna wahudumu wengine hawanipi matumaini ya kupata huduma kwa wakati. Sasa sielewi huu mtandao sasa ndo umeshindwa kabisa katika huduma za pesa au ni nini?

Nyie wakuu nanyi mwakutana na kero hizi......?
Ilishanikuta...lakini ni M pesa..
Nikaja lalamika humu.... baada ya kuwapigia na kunijibu hovyo....nawanukuu ''hela yako bado ipo hewani''...kweli ??????hewani??????
 
Hi,
Sio mara moja, ni zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja airtel imekua ikiniweka roho juu. Nishawahi kulipia bundle la king'amuzi cha Azam kwa airtel money, ilichukua 5 days kuunganishwa na Azam. Kwa madai wao Azam hawawezi kuniunganisha mpaka wapate malipo kutoka Airtel Money. Kwa siku tano sikuweza kuangalia taarifa za habari, mpira movies n.k

Leo tena natuma pesa kwenda Vodacom (M pesa) ni shida. Aliyetumiwa hajapata, nishapiga simu kibao huduma kwa wateja, eti wananiambia pesa imerudishwa kwenye account yako wakati huku napata zero tu.

Ninachoumia zaidi kuna wahudumu wengine hawanipi matumaini ya kupata huduma kwa wakati. Sasa sielewi huu mtandao sasa ndo umeshindwa kabisa katika huduma za pesa au ni nini?

Nyie wakuu nanyi mwakutana na kero hizi......?
Mimi mwenyewe imenitokea leo nimemtumia mtu wa voda hela kwangu imetoka na sms imerudi kwamba imethibitishwa lakini kwa nilieemtumia haijafika lak 7.5
 
Hayo ni matatizo ya kimtandao na ni kawaida.

Siyo matatizo ya kimtandao huo ni wizi tu! Haya matatizo kwa siku hizi za karibuni yametokea sana, na siyo kwa Airtel hata kwa Vodacom, naona wameamua kuja na mbinu mpya ya kutuibia...bahati mbaya sana wahudumu wao hawatoi ushirikiano wowote, wala hawataki kabisa kuulizwa! Ni Tigo pekee ndiyo wenye uwezo wa kumsikiliza mteja na kufuatilia matatizo yake, mimi nimeshuhudia hilo!

Nilikuwa na tatizo na mtandao wa Tigo, hawa Jamaa kutokana na tatizo langu walifikia kipindi wakawa wananipigia simu kunitia moyo...bahati mbaya sikufanikiwa tatizo langu kwa sababu lilikuwa juu ya uwezo wao, lakini nilipenda ushirikiano wao tofauti na hii mitandao ya Airtel na Vodacom, unapiga simu huduma kwa wateja unajibiwa utumbo!
 
Mimi mwenyewe imenitokea leo nimemtumia mtu wa voda hela kwangu imetoka na sms imerudi kwamba imethibitishwa lakini kwa nilieemtumia haijafika lak 7.5

Kama upo Dar es Salaam, wafuate makao makuu...ukitegemea msaada huduma kwa wateja imekula kwako! Ukiwapigia simu ukawauliza, inakuwaje sasa? Watakujibu tu, "vumilia ni matatizo ya kimtandao."
 
Wameniambia wananirudishia ndio nawasikilizia mpaka saa 9 niende

Labda wewe unaweza kuwa na bahati wakakurudishia, sisi wengine tumejaribu kusubiri na hatujarudishiwa. Tatizo la wahudumu wao wanamajibu ya hovyo, mtu umeshapoteza pesa, ukiwauliza wanaleta dharau. Dah yani unaweza kujikuta unawatukana bonge la tusi!
 
Bora airtel, hao voda ambao kila kukicha utasikia huduma haipo cuz mtandao uko chini, watu hukaa hata wiki hawapati mtandao hata wa kupiga simu.
Binafsi nawakubali airtel ukilinganisha na hao wengine, Simu muda wote ina mtandao.
 
Labda wewe unaweza kuwa na bahati wakakurudishia, sisi wengine tumejaribu kusubiri na hatujarudishiwa. Tatizo la wahudumu wao wanamajibu ya hovyo, mtu umeshapoteza pesa, ukiwauliza wanaleta dharau. Dah yani unaweza kujikuta unawatukana bonge la tusi!
Nishawahi kujibiwa "mtandao uko chini kwa na leo hatuwezi kukusaidia mpaka j3 kwakua jmosi na jpili hakuna kazi" inakuaje nisubiri mpk j3!! Mbona hawajazuia wateja wapo kufanya malipo au kutuma pesa ck hizo za wkend!!? Hawa jamaa mteja kwao fala kabisa.... Hapana kwa ndoa hii na airtel imenishinda..... Ni kero sasa
 
Wanafanya wizi wa wazi wazi, na kwa mtandao wa Vodacom naona huko nd'o wanaendelea kwa kasi ya ajabu, siyo kwenye huduma ya M-PESA tu, hata ukirusha salio lisipokufikia basi wewe inua mikono juu mshukuru Mungu kwa maana nd'o imetoka hiyoo! Ingia Facebook kwenye page ya Vodacom uone watu wanavyolalamika!
 
Sehemu ya kuboresha kwa airtel ni Huduma kwa wateja. mara nyingi hapo huwa hawapokei au wanapokea baadae sanayaani utapiga hio customer care mpaka simu iishiwe charge.
 
Hi,
Sio mara moja, ni zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja airtel imekua ikiniweka roho juu. Nishawahi kulipia bundle la king'amuzi cha Azam kwa airtel money, ilichukua 5 days kuunganishwa na Azam. Kwa madai wao Azam hawawezi kuniunganisha mpaka wapate malipo kutoka Airtel Money. Kwa siku tano sikuweza kuangalia taarifa za habari, mpira movies n.k

Leo tena natuma pesa kwenda Vodacom (M pesa) ni shida. Aliyetumiwa hajapata, nishapiga simu kibao huduma kwa wateja, eti wananiambia pesa imerudishwa kwenye account yako wakati huku napata zero tu.

Ninachoumia zaidi kuna wahudumu wengine hawanipi matumaini ya kupata huduma kwa wakati. Sasa sielewi huu mtandao sasa ndo umeshindwa kabisa katika huduma za pesa au ni nini?

Nyie wakuu nanyi mwakutana na kero hizi......?
Mimi ilinikuta 2/7 nililipa Kinga'muzi cha continental kupitia Tigopesa nikakaa cku tatu yaani jmosi mpaka j3..chakushangaza tigo wanasema tunashughulikia lkn mpaka leo hakuna cha hela iliyorudi.nn. nikasamehe nikanunua kupitia mpesa
 
Siyo matatizo ya kimtandao huo ni wizi tu! Haya matatizo kwa siku hizi za karibuni yametokea sana, na siyo kwa Airtel hata kwa Vodacom, naona wameamua kuja na mbinu mpya ya kutuibia...bahati mbaya sana wahudumu wao hawatoi ushirikiano wowote, wala hawataki kabisa kuulizwa! Ni Tigo pekee ndiyo wenye uwezo wa kumsikiliza mteja na kufuatilia matatizo yake, mimi nimeshuhudia hilo!

Nilikuwa na tatizo na mtandao wa Tigo, hawa Jamaa kutokana na tatizo langu walifikia kipindi wakawa wananipigia simu kunitia moyo...bahati mbaya sikufanikiwa tatizo langu kwa sababu lilikuwa juu ya uwezo wao, lakini nilipenda ushirikiano wao tofauti na hii mitandao ya Airtel na Vodacom, unapiga simu huduma kwa wateja unajibiwa utumbo!
Mkuu hakuna mwenye unafuu wote wezi tu hao tigo mwezi huu wa saba wamewaliza wateja wa continental mpaka leo hawajarudisha hela zetu. .
 
Back
Top Bottom