barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Habari zenu!
Airtel inazidi kuwa KERO wakati mitandao mingine ikichanja mbuga. Na upande wa Airtel money, sielewi ni kwa nini mmeweka option ya kutuma pesa toka airtel money kwenda mpesa wakati hamuwezi kui-maintain, nina mzigo wangu imekwama kwa siku kadhaa.
Huduma kwa wateja upande wa AIRTEL MONEY, mmeshindwa kazi. Hamna jinsi, inabidi kuja kukinukisha ofisini kwa bosi wenu kwa kushindwa kazi. Haiwezekani wiki nzima mmeshindwa tatia tatizo hilo, kama vipi toeni hiyo option ya kutuma pesa mitandao mengine. Au ndo wizi wenyewe?
airtel.