Habari wana jf! Naishauri kampuni ya Simu Airtel kurekebisha mfumo wao wa kurenew lini ya Simu za Wateja,maana kuna matapeli wanautumia mfumo huo kublock laini ya MTU na kurenew afu wakatumia hiyo laini kuomba hela kwa marafiki wa mwenye laini maana watuma SMS na jina linasoma kama ulivyosave kwenye Simu yako.huu utapeli unafanyika kila kukicha huku Manyara.