Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

Locked

Member
Jun 11, 2017
26
97
28d38aad7f0cea985679703b3dffd99c.jpg


Ni kweli kuwa kuna huduma nzuri mnazitoa,
Ila mnatakiwa kujua kuwa sisi ni wateja wenu na tunaweza kuwahama muda wowote,

1. Vifurushi vyenu vinasumbua ku- extend kama hamna huduma iyo ni bora mkaweka wazi ili tujue, kifurishi kinapoishi tusubiri hadi muda wa kuisha unapofika ndio tuunge tena.

2. Customer care service, sidhani kama mliweka kwa ajili ya kumsaidia mtu au kumpotezea mtu muda, ipo mbali sana kwa mtumiaji wa kawaida kuweza kuipata tofauti na mitandao mingine. Kwa mtumiaji ambae sio mvumilivu hawezi kusubiria hadi aipate.

3. Network yenu leo ni mbayaa sana. Kuanzia internet, voice call na msg. Na kwenye internet imeanza jana usiku na hakuna taarifa yoyote ya msingi.

Ombi langu:
Kwa mitandao ya simu tanzania tafadhali jitahidini kutoa huduma za kuridhisha kulingana na gharama zenu.
Toa taarifa kwa uma kama kunatazo lolote, hii itasaidia.
 
Mm kwangu speed mbovu y internet yapata miezi 3 mpk sasa!! Povu kabisa AIRTEL
 
  • Mi naw imerdi ila kuna mda ilzingua hatari aisee na airtel mnalocha ujue na iman watapitia huu uzi washurikie hilo sawa
 
Umewang'ang'nia mnacheti cheti cha ndoa unajitesa kwa pesa zako piga chini
 
Kung'ang'ania kutumia Airtel mpaka leo hii ni sawa na kujikuta umebaki peke yako kuishabikia CUF wakati hata Professor mwenyewe alishahamia sisiemu kitambo sana
 
Mkuu unatumia airtel mpaka leo, andika AIRTEL humu JF the search uone uozo unaolalamikiwa lakn hamna ktu wanafanya hawa jamaa. Na ww umeanzisha uzi wako
 
Airtel wajitathimini kwa kweli hii sio haki kabisa niko Dar network yao ni mbovu kupita kiasi je nikienda mkoani huku ndani ndani si line nitaitupa kabisa.
 
Jana imezingua hata kuunga kifurushi kupitia Airtel money ilikuwa inagoma
 
Tena utakuta mtandao umesumbua network haiko nankifurushi hujatumia kabisa.lkn muda ukifika hawana hata kukufikiria labda warudishe hata nusu ya kifurish wap.

Ss najiuliza sijui wao ndio wanaingiliwa sana kuliko tigo maana tigo wanarudisha.bora kurudi TIGO
 
Back
Top Bottom