Airtel mmeanza miyeyusho na bando zenu

believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
633
213
Nimenunua bando ya Airtel ya Tsh 2,000 kwa ajili ya intaneti ya 3 GB, ndani ya dakika 10, wametuma msg bando imeisha, what a prank, 3GB in less than 10 minutes na hakukua na suala la sijui updates, sijui kumuunga mtu na tethering nk nk.

Hivi vitu vidogo vidogo ndiyo vinavyoleta matatizo makubwa makubwa.

Huu si uharamia huu, 3GB unaambiwa ndani ya dakika 10 na hata ndani ya dakika hizo 10 sijaweza ku access nilichukua nataka kufanya.
 
Nimenunua bando ya Airtel ya Tsh 2,000 kwa ajili ya intaneti ya 3 GB, ndani ya dakika 10, wametuma msg bando imeisha, what a prank, 3GB in less than 10 minutes na hakukua na suala la sijui updates, sijui kumuunga mtu na tethering nk nk...
Nafikiri halijaisha. Mimi pia niliunga gb 22 baada ya dakika 10 wakasema MB zimeisha. unapojiunga wanakupa ofa ya MB za bure kama 5 au 10 zikiisha wanatuma hiyo sms.
 
Wananikera wakipigiwa simu wanavyoweka mteja hewani.. mpaka simu inakata unawapigia tena wanarudia ivyo ivyo..kenge Hawa.
 
Inawezekana aisee maana umasikini ni mpana sana, hata wa fikra nao kichomi kweli kweli.
Kuna mahala niliona wanasema eti umaskini ndio hufanya mtu aone airtel wana gharama kuliko halotel asa sjui ni kweli au vp
 
Voda Leo wamenikera yaani 500 nzimanzima hupati SMS hata moja? Eti mb 10 na dk 15 voda na 15 mitandao mingine baaasi
 
Bahati mbaya watanzania wengi tuna fikra kuwa kuhoji vitu vinavyoonekana vidogo mbele ya macho ya watu hususani bando km la Tshs 2,000 ni kukosa fedha.

Hii kwangu ni kuwa nje ya box na kuwa na "keen to details" tu. Keen to details ni kitu muhimu sana, pata bahati ya kukaa na mtu mwenye mafanikio ya kweli ya kiuchumi, hutaamini walivyo conscious na keen.

Jiulize Mtandao wa simu wenye wateja let's say milioni 6 wakawata Tshs 100 kila mwezi ambayo haina justification, maana yake ni kwamba kuna milioni 600 on fraudulent practice inatengenezwa.

"vitu vidogo vidogo ndio vinavyoleta matatizo makubwa makubwa"
 
Voda Leo wamenikera yaani 500 nzimanzima hupati SMS hata moja? Eti mb 10 na dk 15 voda na 15 mitandao mingine baaasi
Kwangu naona bado wananikumbuka kidogo.
 
Attachments

  • Screenshot_20210203-161744_Phone.jpg
    Screenshot_20210203-161744_Phone.jpg
    109.7 KB · Views: 1
Nimenunua bando ya Airtel ya Tsh 2,000 kwa ajili ya intaneti ya 3 GB, ndani ya dakika 10, wametuma msg bando imeisha, what a prank, 3GB in less than 10 minutes na hakukua na suala la sijui updates, sijui kumuunga mtu na tethering nk nk.

Hivi vitu vidogo vidogo ndiyo vinavyoleta matatizo makubwa makubwa.

Huu si uharamia huu, 3GB unaambiwa ndani ya dakika 10 na hata ndani ya dakika hizo 10 sijaweza ku access nilichukua nataka kufanya.
Mkuu naona umepigwa Banzi moja zito😂😂😂 Tafuta mbinu na wewe uwabamize
 
Back
Top Bottom