Airtel mmeanza kipuuzi

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Kweli bongo bado tuko nyuma kwenye customer care and follow up. Hili li modem la KIHINDI LA AIRTEL toka jana usiku ukiconnect ukafungua page tu linajidisconnect. MODEM yenyewe nilinunua airport jumapili na haikufanya kazi eti mpaka niende kituo cha kuhudumia wateja. AIRPORT mmeziweka za nini? Yani CCM itusumbue nanyi mambwiga pia mtusumbue? Nimelipia 60t sasa narudi tena kwenye kituo chenu ila ushauri, wekeni askari wa kutosha maana ntazaba watu vibao PUMBAFU. HESHIMUNI WATEJA
 
punguza munkari......mtakoma sana mwaka huu watanzania......
 
Kweli bongo bado tuko nyuma kwenye customer care and follow up. Hili li modem la KIHINDI LA AIRTEL toka jana usiku ukiconnect ukafungua page tu linajidisconnect. MODEM yenyewe nilinunua airport jumapili na haikufanya kazi eti mpaka niende kituo cha kuhudumia wateja. AIRPORT mmeziweka za nini? Yani CCM itusumbue nanyi mambwiga pia mtusumbue? Nimelipia 60t sasa narudi tena kwenye kituo chenu ila ushauri, wekeni askari wa kutosha maana ntazaba watu vibao PUMBAFU. HESHIMUNI WATEJA

we hilo umetokana nalo wapi...mbona modem zipo nyingi tu na ziko vizuri....jaribu zantel au vodacom
 
Miaka mitano hii mtakanyagana sana! Ni heri yako unaongelea tatizo la mawasiliano.....Huku vijijini tunaongelea tatizo la nishati muhimu-Mafuta ya Taa tunanunua 2500 kwa lita, tena akienda mmama au bibi dukani ndy balaa, kwa hao ndy wanajifanya skio la kufa! Take advantage mazee! kila kitu sasa hv ni ishu mtaani!
 
Na bei za LIPS COLOR itaongezeka na zitawabadiliksha kweli lips za madada zetu!! ngoja!
 
kama unafikiri kuchagua mabadiliko (chadema) ni gharama jaribu mawazo mgando (ccm)

ni hivo ni vijimambo tu, tanzania imejaa bidhaa feki kibao, na hakuna cha ajabu kama raisi wenu anashinda kuangalia africa magic, kusikiliza kina mzee yusuph na bongo fleza za kina diamond what you expect?
 
kama unafikiri kuchagua mabadiliko (chadema) ni gharama jaribu mawazo mgando (ccm)

ni hivo ni vijimambo tu, tanzania imejaa bidhaa feki kibao, na hakuna cha ajabu kama raisi wenu anashinda kuangalia africa magic, kusikiliza kina mzee yusuph na bongo fleva za kina diamond what you expect?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom