Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,039
Yani mtandano wa internet wa Airtel unasumbua sana siku ya leo yani uko chini sana. Mara ilirudi mara ikatike. Sijajua shida ni nini ila wahusika tafadhali fuatilia tatizo hili maana watu tumeunga bundle zetu za maana kufanya mambo yetu sasa mnaturostisha