Airtel Mbona internet na network yenu inasumbua sana leo

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,043
Yani mtandano wa internet wa Airtel unasumbua sana siku ya leo yani uko chini sana. Mara ilirudi mara ikatike. Sijajua shida ni nini ila wahusika tafadhali fuatilia tatizo hili maana watu tumeunga bundle zetu za maana kufanya mambo yetu sasa mnaturostisha
 
Nlihama voda kwa MB kuisha haraka, lakini Airtel nao mtandao upo hovyo kuliko maelezo, si Arusha, si Mwanza
 
True. Mi tangu Jana usiku niliona hili tatizo nkajua labda simu yangu inazeeka
 
True. Mi tangu Jana usiku niliona hili tatizo nkajua labda simu yangu inazeeka
Washenzi sana sasa hivi hata smsm haziendi, yani hapa baadae eti utapokea msg umepewa dakika mbili za kupiga simu wakati wamekutia hasara.
 
Nilijua peke yangu nikajiunga tena bundle la elfu 10
Mimi nina kifurushi cha mwezi uwa najiunga kwa ajili ya Mini-wifi, lakini toka asubuhi shida tupu hadi imebidi nirudi voda
 
Toka airtel wanitapeli kupitia huduma yao ya airtel money. Hawa sina hamu nao kabisa.
 
Back
Top Bottom