Airtel kwa mlichokifanya leo kwangu, nyie ni wezi tena matapeli

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Nimenunua GB 2 kwa Airtel Money, nikaingia whattsapp nikatuma sms 2 tu. nikazima simu.

Nawasha naambiwa bundle limekwisha, looh! GB 2 kuingia WhattsApp limekwisha?

Nawapigia huduma kwa wateja, nao ni majanga, bora nisingewauliza. Wana hasira hao kushinda mie mwenyewe.

Hapo izingatiwe nimezima background data, nimeweka tena jioni hi GB 1. Nayo imeishia kudownload Opera Mini tu katika simu kifurushi kimekata.
 
Kuna Mtanzania mmoja anawashitaki haya makampuni ungana naye myapeleke kwenye vyombo vya sheria
Nilisikia walileta gawio, inawezekana hii ndio njia ya kurudisha ela yao ya gawio? kama sio kwann serikali ya wanyonge inakaa kimya ilihali wanajua kinachotokea?
 
Mimi hao Airtel nawasihi tu wasifunge hii laini yangu, maana sijapata muda wa kwenda kusajili kwa alama za vidole.
 
Nimenunua GB 2 kwa airtel money, nikaingia whattsapp nikatuma sms 2 tu. nikazima simu.

nawasha naambiwa bundle limekwisha, looh! GB 2 kuingia whattsapp limekwisha?

Nawapigia huduma kwa wateja, nao ni majanga, bora nisingewauliza. Wana hasira hao kushinda mie mwenyewe.

Hapo izingatiwe nimezima background data, nimeweka tena jioni hi GB 1. Nayo imeishia kudownload operamin tu ktk simu kifurushi kimekata

Kwa Huduma nzuri za Kampuni ya Simu ya Airtel sidhani kama ipo Siku nitakuja Kuuhama Mtaandao wao. Huwa nawashangaa sana Watu ambao hawatumii huu Mtandao wa Airtel na Kuwaonea Huruma wale ambao kwa Hasira zao za Kipuuzi tu wanataka Kuuhama. Ukihama Airtel na kwenda katika Mitanndao mingine ni sawa unatoka katika Afadhali na unaenda katika Potelea mbali.
 
Unawapataje huduma kwa wateja
Nimenunua GB 2 kwa Airtel Money, nikaingia whattsapp nikatuma sms 2 tu. nikazima simu.

Nawasha naambiwa bundle limekwisha, looh! GB 2 kuingia WhattsApp limekwisha?

Nawapigia huduma kwa wateja, nao ni majanga, bora nisingewauliza. Wana hasira hao kushinda mie mwenyewe.

Hapo izingatiwe nimezima background data, nimeweka tena jioni hi GB 1. Nayo imeishia kudownload Opera Mini tu katika simu kifurushi kimekata.
 
Nimenunua GB 2 kwa Airtel Money, nikaingia whattsapp nikatuma sms 2 tu. nikazima simu.

Nawasha naambiwa bundle limekwisha, looh! GB 2 kuingia WhattsApp limekwisha?

Nawapigia huduma kwa wateja, nao ni majanga, bora nisingewauliza. Wana hasira hao kushinda mie mwenyewe.

Hapo izingatiwe nimezima background data, nimeweka tena jioni hi GB 1. Nayo imeishia kudownload Opera Mini tu katika simu kifurushi kimekata.
Siku hizi unaweza kuta kuna mtu mnashea namba bila wewe kujua. Nchi ina wenyewe hii!
 
Nimenunua GB 2 kwa Airtel Money, nikaingia whattsapp nikatuma sms 2 tu. nikazima simu.

Nawasha naambiwa bundle limekwisha, looh! GB 2 kuingia WhattsApp limekwisha?

Nawapigia huduma kwa wateja, nao ni majanga, bora nisingewauliza. Wana hasira hao kushinda mie mwenyewe.

Hapo izingatiwe nimezima background data, nimeweka tena jioni hi GB 1. Nayo imeishia kudownload Opera Mini tu katika simu kifurushi kimekata.
Hamia TTC L Mzee baba!
Mie nikiweka 1Gb za AIRTEL baada ya muda mchache naamniwa umetumia 90% ya bundle lako hata kama nimeangalia video 2 za kaswida tena 360P.
 
Na hapa Serkali inapaswa kulaumiwa?
Ndio,serikali inapaswa kulaumiwa. haya makampun ya simu yanafanya biashara kwa kufuata sheria za nchi&TCRA
Wizi wa kimtandao ni kosa la jinai.TCRA kwa haraka ndo wanaweza kuwa na suruhisho la wizi huu.
KUNA WAKATI unataka kujiunga 500/= UNAWEKA eg .2000/= UNAAMBIWA HAUNA SALIO LA KUTOSHA .
UKIPIGA simu 100 unaambiwa ulijiunga kwenye Huduma za ajabu ajabu so hiyo pesa imekatwa.
Tunaopigwa kwa style hiyo tupo wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom