chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,376
- 24,928
VETA na Airtel wanashirikiana kuleta program ya kusoma kwa njia ya simu za mkononi smartphone inayoitwa visomo.
Kama unatumia android ingia kwenye play store download Vsomo Program hii mtu yeyote anaruhusiwa kuingia na kujifunza fani kama;
1. Mobile phone technician
2. Electrical Installation
3. Motor cycle maintenance
N.k
Kinacho fanyika ni kwamba utafanya usajili kwa kutumia line ya airtel baada ya kufungua hiyo Vsomo na utapata namba itakayo ingiza kwenye huo mfumo
kozi zilizopo zitafunguka na unaweza kuchagua aina ya kozi zilizopo
utasoma kwa nadharia na utafanya maswali mwishoni baada ya kusoma, ukifaulu unaomba kufanya vitendo kwenye chuo cha veta au karakana iliyo thibitishwa na iliyo karibu na wewe ili upangiwe tarehe ya kuanza practical.