Airtel kuna tatizo gani leo?

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,109
11,831
Wakuu nimenunua vocha na nikaiweka kwenye laini yangu ya Airtel bila matatizo,

Cha ajabu nataka kujiunga inakataa, inasema nijaribu baadae!

Nimejaribu mara nyingi bila mafanikio.

Nimejaribu kuuliza watu wa karibu nao pia inagoma kufanya kazi.

Hofu yangu ni salio nililoweka.
Hata kwenu inakataa hivi?
 
Umecheki na huduma kwa wateja?
 
Lini airtel hawajawahi kuwa na tatizo? Huu ndio mtandao kimeo kuliko mitandao yote ile.
Usishangae ukapigia Customer Care halafu wala wasijue kama kuna tatizo ama wakakupa majibu myepesi tu kama vile wanaongea na hawara zao.
 
Back
Top Bottom