Airtel bomu--tena haswaa....

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,829
11,204
Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..

hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details

AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU
 
Alternative mobile serive providers wako wengi. U may shift kama ulipiwi na kampuni!
 
nimeamua kuipumzisha zain sasa naenda zantel rasmi...
 
nimeamua kuipumzisha zain sasa naenda zantel rasmi...

Zantel, ndio hivyo kabisa siku hizi... Zantel ni ghali sana kwenye upande wa kupiga na kupokea... kwenye Internet wamekuwa Slow sana siku za hivi karibuni.
 
Zantel, ndio hivyo kabisa siku hizi... Zantel ni ghali sana kwenye upande wa kupiga na kupokea... kwenye Internet wamekuwa Slow sana siku za hivi karibuni.
nimeshannunua voda mobile partner na line ndio nachukua zantel ili kuipa sapoti line ya mobitel maana tunachakachuana tu sasa hivi bongo...
 
Kitu kingine grarama zipepanda ghafla bila hata kutujulisha. Tangi ianze kuitwa hilo jina ni kiama! naipumzisha hio line kwa muda mpaka kitakapoeleweka
 
Kitu kingine grarama zipepanda ghafla bila hata kutujulisha. Tangi ianze kuitwa hilo jina ni kiama! naipumzisha hio line kwa muda mpaka kitakapoeleweka

sijawahi itumia hiyo kampuni tangu ilipoitwa zain. Lakini msihofu bado wanaconnect na proxy server zilizoko India.
 
i think pamoja na haya majina kubadilika, kuna haja, tena haja kubwa sana ya kutueleza any cost implications rather than just changing matangazo na logo zao
 
hahahahahaahahah wahindi ndio waanzilishi wa Utapeli na ujanja ujana sasa kaeni Chonjooo
 
Nasikia iyo kampuni India ni ya akina RA na EL yaani kabwela hawezi mudu gharama zao,so kama gharama zimepanda hamtakiwi kushangaaa
 
Mimi kitu chochote kinacholetwa na wahindi huku Afrika nina mashaka nacho sana!! Hii airtele sina imani nayo kabisa!!
 
Back
Top Bottom