Airtel angalieni mfumo wenu wa ip address wa modemu unakua detected as 'spammers'

sasa mkuu unawaambia airtel humu jf? wanayo facebook wall yao, huko ndio kwa kusema mambo hayo, ni sehemu ya wao kukujibu na kujibizana
 
Hata humu wanaangalia sana FYI.....kule wanaenda baada ya kupita JF
 
Back
Top Bottom