Airtel acheni mipasho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel acheni mipasho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by B.O.G, Apr 8, 2011.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzo nilipoona picha za hilo Tangazo nilidhani ni tangazo la tigo, baada ya kusoma hapo juu kumbe ni la Airtel. Ninayo imani kwamba Airtel ni kampuni kubwa katika kiwango cha kimataifa lakini jambo la kushangaza ni kwamba matangazo yao ni ovyo kabisa hayana ubunifu wowote kilicho baki ni kuangalia fulani kafanya nini basi wabadilishepo kidogo nao wasomeke ama wasikike. mfano mwingine wakati bado wanajiita Zain kulikuwa na tangazo lao ambalo lilikuwa linasema kuwa wao ni shilingi moja siku nzima,si kama wengine wanao ishia saa kumi na mbili = (tigo). kwa nini uwaambie watu kuhusu wengine kwani wao hawawajui.
   

  Attached Files:

 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  du..haya! we r very behind in advert creativity
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha tangazo moja la Kilimanjaro Kempinsiki Hotel lililokuwa pale Nyumba ya Sanaa karibia na Movenpick. Hilo tanzago lilikuwa linasema"We will move mountains to make your stay comfortable" ukiangalia Movenpick wana comma juu ya O sasa hilo tangazo kwenye neno mountains herufi O waliiwekea comma ikawa inaonekana ni dongo kwa Movenpick, jamaa wa Movenpick walilalamika na advert ikabadilishwa.
   
 4. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwanzoni na mimi niliona hivyo, lakini baadaye nikaona kwamba Airtel wameamua ku-hit on the spot instead of going around the spot.
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sijui sana ethic za matangazo ya biashara,yaani pale wamewahit moja kwa moja tigo kwa rangi walizoweka,lakini nasikia ni strategy ya owner kuiua tigo,sijui ataweza?
   
 6. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha kuipromoti tigo,kama tangazo la airtel lingekuwa linaikashfu tigo basi wangekwenda kwenye tume ya "fair competition" na kulalamika so nothing is wrong and the blue colour haikuwa ni tigo peke yake maana tangazo limetoka even b'4 vodacom hawajabadili rangi.
   
 7. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikubwa sio kupromote tigo maana, ile gari ya mgongo wa chura na yule mzee wa old skool thats tigo complitly
   
Loading...