Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,090
Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu.
Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama.
Tunaitaka mitandao, iache mara moja michezo hii ya kijinga, wasifikiri sisi wananchi hatuoni
Nausema specifically mtandao wa Airtel kwa sababu natumia vifurushi vyake.
Huu mtandao kabla ya Sakata la kubadili bei za vifurushi, ulikuwa mtandao fair lakini naona siku hizi nao kama unafanya michezo ya ajabu ajabu
Tunataka TCRA, Waziri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Airtel walifanyie kazi suala hili,Kuna kitu hakijakaa sawa!