AIRPORT Rekebisheni bango lenu ni BARACK OBAMA siyo BARAK OBAMA

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,836
2,792
Tusije kuonekana washamba hata spellings za jina lake tunakosea, hii nimeona ITV taarifa ya habari jana saa mbili. Ni maandalizi ya kumkaribisha Mr President BARACK OBAMA wao wameandika BARAK OBAMA vitu vingine vinatutia aibu bila sababu jamani. Mtu ataanza kuidharau nchi hata kabla hajakanyaga ardhi ya Tanzania, acha Obama hata watoto wake watatudharau sana. Ki-protocol kukosea jina la mtu hasa kiongozi wa nchi ni kashfa. Hivi nyie usalama wa taifa mnachungulia kama Chadema wapo kwenye maandamano hata makosa madogo yenye kuweza kukuza dharau kwa nchi hamyaoni. Haya andikeni BARACK OBAMA SIYO BARAK OBAMA.
 
Tusije kuonekana washamba hata spellings za jina lake tunakosea, hii nimeona ITV taarifa ya habari jana saa mbili. Ni maandalizi ya kumkaribisha Mr President BARACK OBAMA wao wameandika BARAK OBAMBA vitu vingine vinatutia aibu bila sababu jamani. Mtu ataanza kuidharau nchi hata kabla hajakanyaga ardhi ya Tanzania, acha Obama hata watoto wake watatudharau sana. Ki-protocol kukosea jina la mtu hasa kiongozi wa nchi ni kashfa. Hivi nyie usalama wa taifa mnachungulia kama Chadema wapo kwenye maandamano hata makosa madogo yenye kuweza kukuza dharau kwa nchi hamyaoni. Haya andikeni BARACK OBAMA SIYO BARAK OBAMA.

Kiongozi mmoja wa juu wa WHO aliwahi kusema Waafrika ni wavivu kujiandaa na kuwakilisha (Preparation and presentation). Ni yale yale
 
...Wiki nzima Tuna-Chamba sana mpaka tunashika Uchafu sasa! Samahanini.:angry: UMAKINI ni tatizo mojawapo kuu linalotusumbua Wabongo. Angalia tunavyokosea herufi kwenye maneno tunayoandika kwenye maeneo ya biashara zetu, magari yetu na sasa hata jina la Raisi wa Dunia...! Kaaazi kweli kweli
 
...Wiki nzima Tuna-Chamba sana mpaka tunashika Uchafu sasa! Samahanini.:angry: UMAKINI ni tatizo mojawapo kuu linalotusumbua Wabongo. Angalia tunavyokosea herufi kwenye maneno tunayoandika kwenye maeneo ya biashara zetu, magari yetu na sasa hata jina la Raisi wa Dunia...! Kaaazi kweli kweli
watasema hilo bango kapewa chadema waandike ha ha ha
 
Si unajua wabongo ndio zao kukosea! Halafu hapo kuna mtu ambaye anahusika alikuja akasoma aka approve kwamba lipo Fine na hela ikatoka.
 
mheshimiwa Nchemba swali la nyongeza
"aaa asante Ana mandege mie nina ushahidi Chadema ndo wamebadili jina pale airport"
ccm vimbelembele wanapiga meza "waa waa waa paah paah"
Waziri tasa anakazia "yapigeni tu tumechoka "
Wapi bana huenda yy ndo akawa amefika mwisho wa kufikiri
 
Tusije kuonekana washamba hata spellings za jina lake tunakosea, hii nimeona ITV taarifa ya habari jana saa mbili. Ni maandalizi ya kumkaribisha Mr President BARACK OBAMA wao wameandika BARAKOBAMBA vitu vingine vinatutia aibu bila sababu jamani. Mtu ataanza kuidharau nchi hata kabla hajakanyaga ardhi ya Tanzania, acha Obama hata watoto wake watatudharau sana. Ki-protocol kukosea jina la mtu hasa kiongozi wa nchi ni kashfa. Hivi nyie usalama wa taifa mnachungulia kama Chadema wapo kwenye maandamano hata makosa madogo yenye kuweza kukuza dharau kwa nchi hamyaoni. Haya andikeni BARACK OBAMA SIYO BARAK OBAMA.
Yote hayo ni kwasababu Chadema haijaalikwa wadanganyika bwana.
 
aibu nyingine hiyo, ina maana hakuna muhariri jamani...duh usiku wa kuamkia leo kandoto kalinipitia kuhusu huyu bwana obi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom