AirAsia Plane Crash PROPHECY - T.B. Joshua

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,724
7,560
Je una mtizamo gani kuhusu huyu mtabiri?

 
Last edited by a moderator:
Aliposhindwa kutabili jengo lake likaua watu basi imedhihirisha utapeli wake wa hali ya juu
 
hahahaha lile tapeli la kinigeria ? hovyo kabisa mtabiri bora ni ndoto zako tu usiku umelala siyo TB Joshua
 
kama unasoma biblia fuatilia kilichomkuta ayubu, don't be stupid

Atleast am not stupid enough kutotofautisha miujiza na mazingaombwe!Hapa nimeuliza unabii!!Sasa Ayubu alipatwa na mapigo au alikuwa anatoa unabii juu ya majanga?!
 
kama unasoma biblia fuatilia kilichomkuta ayubu, don't be stupid

Pia tumia akili,tofautisha dhana ya unabii endelevu wa joshua na unabii unaoweza kupewa mtu kwa ajili ya kazi maalumu au tukio maalumu moja!!Ukumbuke hata mapepo pia yana uwezo wa kuona future!!
 
Nauliza tena,kwanini unabii wake unabase kwenye mambo hasi tu?pia hata akiyaombea hayaondoki!Badala yake yakitokea wanabaki kama kushangilia kuwa nabii aliliona na hili!so what!?
Yesu alitabiri juu ya kuanguka kwa mji wa Yerusalemu na maafa yatakayowapata wenyeji na akaulilia, je yalibadilika? Maafa hayakutokea?

Yohana alitabiri ole nyingi za ulimwengu ikiwemo kutokea kwa imani ya "wenye vikofia" katika Ufunuo:13, je imebadilika? Wenye vikofia hawauangamizi ulimwengu?
 

Attachments

  • 1419931637591.jpg
    1419931637591.jpg
    19.9 KB · Views: 494
nimeona video yako youtube kweli huyu TB Joshua ni nabii wa ukweli .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom