Air tell internet bandles nijaribu kununua toka jana siwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Air tell internet bandles nijaribu kununua toka jana siwezi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mshamu, Aug 6, 2012.

 1. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Watalamu najaribu kuweka bandle kwa ajili ya internet kwenye line ya Airtell toka jana inasema failed ile ya *154*44# jamaa wa customer care hawaeleweki msaada tafadhali
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  afu jamaa wanaiba hawa,nmeweka 400mbs jana nna2mia mint hakuna software inayoweza 2mai network without my knowing,nika browse kidogo nkachck vids 4 za u-tube each dk kama 4 hivi ucku naambiwa nimemaliza kifurushi.F them.
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Video 4 za dakika 4 each? Maana dk 4 around 30 mb kwa 320p sasa kama umeangalia hd 720p au 1080p sishangai kuisha
   
 4. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jamani nisaidieni na mimi msaada wangu hapo juu hawa jamaa siwaelewi au kuna mtu kanunu bandle jana au leo ainijulishe
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Vids 4 za dk4 youtube mb400 zote nd u say u aint surprised? Well anyways shangaa, cause WTF do i need HD vids kwenye vi clip vya dk 4 for? Clips zina like 27mb max. Hawa jamaa i،ve been on them for a long time wezi.
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kama kawa INTERNET kwenda 15444 mbona iko poa,kama inazengua i guess mayb ne netwrk probs jaribu badae kidogo
   
 7. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Asante kaka imekubali ila ndo hivyo yani inakamua siyo kawaida ila sina jinsi huku kwetu airtell ndo ina 3G zingine noma tu.
   
 8. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  nadan walikuwa wanarekebisha mambo zao baada ya kuwa tunafaidi imternet yao unlimited kwa zaidi ya mwezi sasa kuptia hiyo huduma yao. Sasa hivi naona haikubari
   
Loading...