Air Tanzania ups stake for East African skies

Kenya Airways (KQ) has at least four daily flights to Dar es Salaam, five to Entebbe, four to Lusaka and at least one daily flight to Livingstone (Zambia). KQ also flies to two other cities in Zambia.

KQ bado wanaongoza sanaaa
 
Tell him ! He is just a desperate MATAGA fanatic parotting here week in week out

How in a real sense can you compare ATCL to Kenya Airyways?
 
Kama hali ni hii kwa ndege 11 tu, Itakuwaje zile tano mpya zikifika?

Hivi Watanzania tunaelewa vizuri anachofanya Rais Samia?

Hii mnajua tunatisha sana EAC kwa sasa?
 
Kama hali ni hii kwa ndege 11 tu, Itakuwaje zile tano mpya zikifika?

Hivi Watanzania tunaelewa vizuri anachofanya Rais Samia?

Hii mnajua tunatisha sana EAC kwa sasa?
Kutisha kwa hasara ya 400B plus hasara ATCL?
 
Hii takwimu umeitoa wapi chief?
Just 2019/20 Limetengeneza hasara ya 60B in one year.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ikulu Chamwino Dodoma amepokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2019/2020 na taarifa ya TAKUKURU ya 2019/2020

Moja ya vilivyozungumzwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Charles Kichere ni hasara iliyopatikana kwenye Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) na amenukuliwa akiyasema haya hapa chini.

“Katika ukaguzi wetu wa mwaka 2019/2020 tumegundua Shirika letu la Ndege limetengeneza hasara mwaka huu ya Tsh. Bilioni 60 na kwa miaka mitano pia limekuwa likitengeneza hasara”
 
Hao Kenya Airways, South African Airways, British Airways, na wengine wengi wapo anga lote lakini hasara inawaandama kwa miaka mingi sasa na mashirika haya yanaendeshwa kwa ruzuku za serikali zao. Biashara ya ndege ilikuwa na pesa zamani sio sasa. Tutaona.
Hizi ndiyo akili ndogo faida ya biashara ya ndege haipo kwenye sekta ya ndege tu ,tunaweza tukawa tunapata hasara kwa jicho la chini ila kwa jicho la juu tunapata faida kama nchi mfano ndege imeleta watalii 200 wamelipa nauli sh milioni 2

kila mmoja jumla sh400mil toa gharama za uendeshaji sh500mil hapo tutakuwa tumepata hasara ya milioni 100 ila hao watalii wakija tz kila mmoja atatumia milioni 50 nchini kwa kukaa kwenye mahoteli mbalimbali

chakula mavazi mbuga za wanyama nk sasa ukitazama kwa ujumla ndiyo utajua kwanini mashirika ya ndege yanapata hasara ila serikali aziachani nayo ,pia ndege ni kitangazo kikubwa cha nchi yoyote ile ,zinasahidia kuitangaza tz kimataifa
 
Ndio maana tunapata hasara nchi hii.
 
Back
Top Bottom