Hivi ATC wana rubani mzungu? Au huyo kushoto katoka ndege nyingine kaja kushangaa hapo!
Mkuu ngoja nimsaidie mleta mada kukufafanulia kuwa hapo ni Mogadishu....
1. Hawa ni viongozi wa kiserikali walikuwa wanamsubiri afike...picha hii hapa chini ndio itakusaidia kujua hapo ni Mogadishu kwani hilo jengo kwa nyuma ni jengo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu...(try to google search)
Duh Huyo Jenerali mwenye kombat ni Mtanzania.Kweli watanzania noma.na ndio maana Rais kakodi hiyo ndege halafu mtu ajaribu kuidungua
2. Hapa chini rais wao kafika na wanampokea...
3. Ameshapokelwa na wanaelekea kwenye jengo la airport kwa ajili ya mkutano mdogo....
4. Rais wao akihutubia katika chumba cha mkutano...
5. Air Tanzania ikijiandaa kuondoka kwenye run track...
Usijeshangaa ishapigwa bei kimya kimya chezea serikali sikivu ww
Mkuu ngoja nimsaidie mleta mada kukufafanulia kuwa hapo ni Mogadishu....
1. Hawa ni viongozi wa kiserikali walikuwa wanamsubiri afike...picha hii hapa chini ndio itakusaidia kujua hapo ni Mogadishu kwani hilo jengo kwa nyuma ni jengo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu...(try to google search)
2. Hapa chini rais wao kafika na wanampokea...
3. Ameshapokelwa na wanaelekea kwenye jengo la airport kwa ajili ya mkutano mdogo....
4. Rais wao akihutubia katika chumba cha mkutano...
5. Air Tanzania ikijiandaa kuondoka kwenye run track...
Jambo msilolijua ni kama usiku wa kiza.
Hiyo ndege sio ya Tanzania na wala haijasajiliwa Tanzania. Ndege za Tanzania Husajiliwa kwa kuanza na 5H-. Ukiangalia vizuri hiyo ndege huko karibu na mkia imesajiliwa kwa kuanzia na 5Y- ikimaanisha imesajiliwa Kenya.
Mambo mengine muwe mnasumbua kidogo vichwa vyenu.
Huyo Jenerali mwenye kombat ni Mtanzania!!Watz noma sana,na ndege yetu kakodishiwa,atoke mtu aidungue
Anatumia kiswahili cha ki-muungano sio cha Tanganyika wala Zanzibar. Msamehe bure!
Jambo msilolijua ni kama usiku wa kiza.
Hiyo ndege sio ya Tanzania na wala haijasajiliwa Tanzania. Ndege za Tanzania Husajiliwa kwa kuanza na 5H-. Ukiangalia vizuri hiyo ndege huko karibu na mkia imesajiliwa kwa kuanzia na 5Y- ikimaanisha imesajiliwa Kenya.
Mambo mengine muwe mnasumbua kidogo vichwa vyenu.
Khaa!! Watoa vitambulisho vya taifa wana kazi kubwa sana bora na wao walipwe posho kama za wabunge tu eep:Air tanzania hipo ,wala denge hii hili nunuliwa siyo hiyo unayosema.
Denge ni kitu gani watanganyika wenzangu?
Mkuu ngoja nimsaidie mleta mada kukufafanulia kuwa hapo ni Mogadishu....
1. Hawa ni viongozi wa kiserikali walikuwa wanamsubiri afike...picha hii hapa chini ndio itakusaidia kujua hapo ni Mogadishu kwani hilo jengo kwa nyuma ni jengo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu...(try to google search)
2. Hapa chini rais wao kafika na wanampokea...
3. Ameshapokelwa na wanaelekea kwenye jengo la airport kwa ajili ya mkutano mdogo....
4. Rais wao akihutubia katika chumba cha mkutano...
5. Air Tanzania ikijiandaa kuondoka kwenye run track...
Nashukuru kwa maelezo mazuri mkuu ila bado picha hazijielezi vizuri,,picha ya jengo unalosema lipo uwanja wa ndege lipo peke yake air tz haionekani eneo la hilo jengo,,picha za viongozi pia hilo jengo halionekani..kimsingi angalau ungekuwa na picha ya inayoonesha hilo jengo,viongizi na ndege kwa pamoja ningekubaliana nawe...
Sidhani kama huyo unayemuita 'jenerali' ni askari wa Tanzania...
Denge ni kitu gani watanganyika wenzangu?
Wapo mbona oman air(wy) ina marubani wakitanzania wengi kutoka zanzibar