Air Tanzania yapandisha nauli zake

Mzigo huo hapo 371,000 Tzs with service charge included, tiket ya kwenda na kurudi kesho hio hio....narudia tena jamaa aache kutafta attention...now kuna siti 3 zimebaki km yupo sereous akakate sio kuja kudanganya danganya watu wazima humu ndani.
Screenshot_20210218-202605_Chrome.jpg
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
wewe sio frequently traveller alafu inategemea unasafiri na ndege ya saa ngapi ndege za asubui sana always huwa cheap ukisafiri mchana bei kubwa
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
weka na vielelezo mkuu ..
 
Hata economic hazijajaa...nimetoka kuchek sasa hivi bado zipo siti 4...huyo jamaa mzenguaji tu, i think anapenda attention tu ndo maana kakimbilia humu ndani kuanzisha thread based on fabricated info akidhani hatutafuatilia kujirizisha na anachokilalamikia.
Umewahi kukata tiketi ya ndege wewe.??

Sasa hiyo Bei uliyoiona omba invoice ya kulipia hiyo tiketi halafu urudi hapa Tena.
 
Mzigo huo hapo 371,000 Tzs with service charge included, tiket ya kwenda na kurudi kesho hio hio....narudia tena jamaa aache kutafta attention...now kuna siti 3 zimebaki km yupo sereous akakate sio kuja kudanganya danganya watu wazima humu ndani.View attachment 1705725
mkuu hiyo ni X class kwa wajuzi inaitwa promo class ambayo kwa ATC validity yake ni 14dayz .... hiyo huwekwa wakati wa low season tena mara chache sana.... fanya booking ambayo safari ya kwenda na kurudi iwe over 15days uone bei zake.
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.

Mi7 Tena.
 
Hilo shirika la ATCL alina mda mrefu kwenye biashara kwasababu aliendani na hari halisi ya uchumi wa wananchi, Mtu aende Mbeya kuenda na kurudi kwa 520k kufanya nini kuna biashara gani huku ya kurudisha hiyo gharama. Watabaki na abiria watchache sana ili route zita anza kufa automatically
Wenye uwezo wa kupanda wapo tusilazimishe mambo..........kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Umewahi kukata tiketi ya ndege wewe.??

Sasa hiyo Bei uliyoiona omba invoice ya kulipia hiyo tiketi halafu urudi hapa Tena.
We ndo hujawahi kukata tiketi ila unajitia ujuaji while hujui kitu...hapo naomba invoice ya nn while ukimaliza ku confirm booking instantly unapata no ya kulipia kwa simu kwa amount kwa iiyowekwa hapo kwenye screenshot ukimaliza kulipia unapata email ya tiketi yako...ningekua nasafiri ningelipia then nikakutumia screenshort ya tiketi unfortunately sisafiri...next time acha ujuaji wakat hujui kitu...hayo mambo ya kuomba invoice sijui uliyaskia yanasimuliwa wapi ukayabeba km yalivyo.
 
mkuu hiyo ni X class kwa wajuzi inaitwa promo class ambayo kwa ATC validity yake ni 14dayz .... hiyo huwekwa wakati wa low season tena mara chache sana.... fanya booking ambayo safari ya kwenda na kurudi iwe over 15days uone bei zake.
Narudia tena kijana dont seek our attention...now nimefanya booking ya 21days( from 21feb to 14th of March 2021)..screenshort attached...

hivi kwann mnapokua mnaandika hivi vitu hua hamconfirm facts zenu kwanza...unajiandikia tu promo ya 14days...haya mjuzi update desa lako kua promo X class ht ni 21days inawezekana...

JF is a home of great thinkers, you better check your facts right b4 you post anything otherwise utaumbuka
 
Attachments

  • Screenshot_20210218-221126_Chrome.jpg
    Screenshot_20210218-221126_Chrome.jpg
    27.5 KB · Views: 2

Hao ni wapingaji , usishangae hata hiyo ndege yenyewe hajawahi kuipanda
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
Shabiby HAIPO KWANI?
 
Hawa jamaa ni wajinga wangepunguza bei ili wapate full load na kuongeza routes,
Kwa formula gani ???

Abiria wengi na nauli ndogo wanazalisha hela nyingi kuliko wachache na ma nauli makubwa? Kivipi ?
 
Atcl hawana mpinzani kwa route za ndani... Kuzidisha nauli Mara dufu Ni kufukuza wateja...
Umeshasema hawana mpinzani sasa mteja akikimbia aende wapi? Hao ni kama Tanesco tuu yaani hata umeme upande vipi utanunuliwa tuu maana hakuna pa kukimbilia.
 
Yani wewe mshahara wa mtu unadhurulia huko angani....!?
Na unasema nafuu. !?
Anazurura angani na mshahara wa mtu daah.... Kwanza kama usafiri wako ni wa ndege hutakiwi kamwe kulalamika eti nauli iko juuu.
 
Back
Top Bottom