Air Tanzania wamwaga ajira wadada changamkia guess.

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,467
1,669
shirika la ndege la ATCL limemwaga ajira.katika ngazi mbalimbali. wahudumu ndani ya ndege, wafanya usafi wa ndege, marubani, na maofisa mbalimbali. kuna hadi nafasi za form four, N. B ukipata bahati ya kuajiriwa ATCL utakuwa unapaa na bombadierq400 cs300,na boeing787, nurse. pitia kwenye web y'all. www.Atcl.com.
 
[HASHTAG]#Ndg[/HASHTAG].AirTanzania
wana safari mpya nyingi za ndani kuliko shirika lingine la ndege... na gharama ni 140,000/-

[HASHTAG]#Ndg[/HASHTAG].Ndalilo
Atcl... ninayo ifahamu mimi wanatumia web hii www.atcl.co.tz na sio www.Atcl.com
 
Kwa ndege zipi walizonazo? hata ukitafuta safari kwenye website yao hakuna ndege.
wanaq400 mbili nyingine inakuja wiki kesho nadhani ushaiona mitandaoni cs300 na boing787 ni mwakani so lazma wajpange Kama hutaki kazi pita hv-------
 
shirika la ndege la ATCL limemwaga ajira.katika ngazi mbalimbali. wahudumu ndani ya ndege, wafanya usafi wa ndege, marubani, na maofisa mbalimbali. kuna hadi nafasi za form four, N. B ukipata bahati ya kuajiriwa ATCL utakuwa unapaa na bombadierq400 cs300,na boeing787, nurse. pitia kwenye web y'all. www.Atcl.com.
Upo siriazi mkuu? Mbona hilo tangazo halipo hata kwa tovuti yao? Embu liweke lote hilo tangazo kama ni kweli. Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[HASHTAG]#Ndg[/HASHTAG].AirTanzania
wana safari mpya nyingi za ndani kuliko shirika lingine la ndege... na gharama ni 140,000/-

[HASHTAG]#Ndg[/HASHTAG].Ndalilo
Atcl... ninayo ifahamu mimi wanatumia web hii www.atcl.co.tz na sio www.Atcl.com

Hivi mkuu hizo bei za 140,000/= huwa mnapata wapi? Au mnaenda kukatia tiketi ikulu?

Nahapa cjaweka bei yenye Kodi na Service Charge

Capture.PNG

Nahapa cjaweka bei yenye Kodi na Service Charge tena

Capture 2.PNG

Hapa nimeona niweke sababu unaweza kusema ni 165,000/=
Capture 3.PNG

Sasa niambie hiyo 140,000/= inapatikana wapi na wao wanatumia system ipi ya billing? Kwenye bei kwa kweli ATC inabidi wajipange tu na hapo ni booking
 
Hivi mkuu hizo bei za 140,000/= huwa mnapata wapi? Au mnaenda kukatia tiketi ikulu?

Nahapa cjaweka bei yenye Kodi na Service Charge

View attachment 557661

Nahapa cjaweka bei yenye Kodi na Service Charge tena

View attachment 557662

Hapa nimeona niweke sababu unaweza kusema ni 165,000/=
View attachment 557663

Sasa niambie hiyo 140,000/= inapatikana wapi na wao wanatumia system ipi ya billing? Kwenye bei kwa kweli ATC inabidi wajipange tu na hapo ni booking
Atcll.JPG
 
Wakubwa msitoke mapovu, hata matangazo hayasemi kuwa bei ni 140,000. Tulieni na msome vizuri kwa kituo mtaelewa. Wanasema NAULI INAANZIA maana yake haiko au haitokuwa pungufu ya hapo ila kiwango cha juu ya hapo ni mpaka ukienda kukata tiketi utajua.
 
Back
Top Bottom