Air Tanzania signs deal with Bombardier for 4th Q400 NextGen

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
1553835992094.png

Hii ya nne Sijui ndo itakuwa inapiga ruti ya Nairobi
 
View attachment 1056686

Hii ya nne Sijui ndo itakuwa inapiga ruti ya Nairobi
Kabla ya kusema hivyo hebu tafakari yafuatayo
1.Average utilization-11 hours kwa siku
2.Q400 tatu hadi sasa zimeshabeba abiria zaidi ya laki tano
3. ATC sasa hivi inakimbilia kama haijavuka kubeba 50% ya abiria nchini.
Kwa hesabu hizi kwa nini isiongezwe nyingine [kwani zinajinunua wenyewe]
HONGERA SANA ATC. Kwa wale pessimist ninajua wataendelea kuponda lakini ukweli unabaki kuwa ATC imeanza vizuri
 
aisee kwa kweli wana stahili pongezi ..iv ile ambayo ilipelekwa matengenezo ilisharudi ? alafu Mh. Rais alisema siku ile tumeweka order ya dreamliner 787-8 nyingine alisema mwishoni mwa mwaka huu nazani ndio tutaichukua sijui ni kweli ?
 
Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino usiofutika. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
 
Kila kufuli na ufunguo wake. Kuna ng'ombe sehemu fulani ambao msiba wao tayari umeandikwa kwa wino ambao haufutiki. Maanake kwa mwendo huu hiyo siku ndege itakapowasili lazima watu watachafua nyuso zao wakipambana na minofu. Upande wa pili nao KQ imeingia kwenye mkataba wa order ya ndege kumi kwa mpigo, na sio mapanga boi. Wala usitegemee kusikia vifijo na nderemo vimeshamiri hewani. Its okay, such is life.
KQ mna ndege tatu tu na mnaringa.
Ya kuazima haisitiri makalio!
 
Ndege kumi lazima iwe ni mkopo, kumbuka KQ hadi leo inatengeneza hasara, haina uwezo wa kulipa hata gharama za ndege walizokodi, kiufupi haina uwezo wa kulipa gharama za uendeshaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KQ has not ordered any planes, Stop propaganda..Read what Michael joseph said👇👇👇👇👇

Kama parking space ni bure sawa tu
Maana huku kwingine ni bei haswa
Hongereni sana kwa kuongeza familia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ndege kumi lazima iwe ni mkopo, kumbuka KQ hadi leo inatengeneza hasara, haina uwezo wa kulipa hata gharama za ndege walizokodi, kiufupi haina uwezo wa kulipa gharama za uendeshaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
KQ mna ndege tatu tu na mnaringa.
Ya kuazima haisitiri makalio!
Wanaume, hebu tuweke umbea na porojo kando kwa dakika moja.
tapatalk_1552293334614-jpeg.1053964

Hii hapa ni chart ya umiliki wa ndege za KQ. KQ inamiliki ndege 40 kwa sasa, 20 zinamilikiwa moja kwa moja na KQ, 20 kwa mikataba ya lease. Ndege zingine 10 zinatarajiwa baada ya KQ kusaini mkataba wa order na Boeing. KQ ipo kwenye ligi nyingine bana. Wewe unayeongea kuhusu hasara tuambie kuhusu faida ambayo shirika lenu limepata na ndege zake saba tu.
 
1553847624852.png

SOURCE: https://www.businessdailyafrica.com...r-17-planes/4003102-5009176-ggrdi8/index.html

KQ fully owns just 3 planes kwenye fleet yake
 
kenya-airways-10year-strategy-9-728.jpg
Endeleeni kukomalia kwenye umbea na porojo. Mimi nawapa tawkimu na uhalisia wa mambo kama yalivyo. ATCL haijafikia hata 1/32 ya 'destination' ambazo KQ ilikuwa inatua kote duniani miaka minane iliyopita.
 
Back
Top Bottom