Airport Lockdown, mmeingia mtego wa panya.Tuko Airport tanguu saa 12 Asubuhi .ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege.Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Tunawaombea mtaondoka muda si mrefu.Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Kuna waziri mnamsubiri hapo...Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Viongozi wanasiasa wanataka kufanya biashara ambazo zinawashinda waingereza na wababe wengine. Mnajua mpaka sasa ATCL inapata faida au hasara? Watu wanakopa kufidia hasara! Tutaona mengi.Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Ni Mara yako ya ngapi kupanda ndege...mm nikishawekwa na KQ siku tatu pale Mumbai. Na nikishawekwa pia na Qatar Airways siku mbili pale Doha. Na nimeshalazwa siku tatu na Gari langu mbugani..breakdown ni Mambo ya kawaida kwenye Mambo ya kusafiri.Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Na ulilazwa chini siku NNE na mkeo, mbona ni mambo ya kawaida kwenye ndoa.Ni Mara yako ya ngapi kupanda ndege...mm nikishawekwa na KQ siku tatu pale Mumbai. Na nikishawekwa pia na Qatar Airways siku mbili pale Doha. Na nimeshalazwa siku tatu na Gari langu mbugani..breakdown ni Mambo ya kawaida kwenye Mambo ya kusafiri.
Watu walio ishi Uswahilini bwana, utawajua tu!Sawa tumeshakuelewa na kujua kuwa leo tokea uzaliwe ndiyo umepanda Ndege ( Bung'o ) Ndugu yetu. Haya Safari njema kwenda huko Mwanza.
Watu walio ishi Uswahilini bwana, utawajua tu!