Air Tanzania Haiwezi Kuendelea Ikiendelea na Siasa

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege.

Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
 
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Tunawaombea mtaondoka muda si mrefu.

Luckman1
 
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.

Sawa tumeshakuelewa na kujua kuwa leo tokea uzaliwe ndiyo umepanda Ndege ( Bung'o ) Ndugu yetu. Haya Safari njema kwenda huko Mwanza.
 
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Viongozi wanasiasa wanataka kufanya biashara ambazo zinawashinda waingereza na wababe wengine. Mnajua mpaka sasa ATCL inapata faida au hasara? Watu wanakopa kufidia hasara! Tutaona mengi.
 
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Ni Mara yako ya ngapi kupanda ndege...mm nikishawekwa na KQ siku tatu pale Mumbai. Na nikishawekwa pia na Qatar Airways siku mbili pale Doha. Na nimeshalazwa siku tatu na Gari langu mbugani..breakdown ni Mambo ya kawaida kwenye Mambo ya kusafiri.
 
Back
Top Bottom