Air Tanzania ditches Chinese firm and partners with Air Zimbabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Air Tanzania ditches Chinese firm and partners with Air Zimbabwe

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BAK, Jul 5, 2010.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,814
  Likes Received: 83,210
  Trophy Points: 280
  Air Tanzania ditches Chinese firm and partners with Air Zimbabwe
  [​IMG]
  An Air Tanzania airplane. The airline was privatised in 1998, when South African Airline bought 49 per cent shares Photo/FILE
  By MIKE MANDE
  THE EAST AFRICAN

  Posted Monday, July 5 2010 at 00:00

  Tanzania may sever ties with China’s Sonangol International Ltd over failure by the company to invest and take over 49 per cent shares in the ailing Air Tanzania Company Ltd (ATCL) as agreed four years ago.


  The inaction by the company has prompted the government to fund the airline to the tune of $540 million to rescue it from collapse.


  And in a move to increase capacity and reduce operational expenses by servicing selected routes, Tanzania approached the government of Zimbabwe and the two are now finalising details for a major partnership between the countries’ state airlines.


  Strategic

  This move is aimed at saving Air Zimbabwe and Air Tanzania Company Ltd from total collapse, while creating one of the biggest commercial agreements on African routes which are not serviced by other major airlines.


  A team of experts from the two countries is working on the partnership proposals which will pave the way for the strategic partnership.

  The purpose of the discussions, according to information made available to The EastAfrican, is to outline terms of the partnership and the implementation of the two airlines turnaround strategy.


  The two governments said that they recognise the fact that partnerships are a viable means of success.

  The two airlines are also apparently on the look out for a strategic partner because of the challenges that they have faced in the past when they operated as single ventures, while other continental airlines thrived through strategic partnerships which allow for bigger catchment.


  Dr Peter Chikumba, the group chief executive officer of Air Zimbabwe, told The EastAfrican from Harare that the partnerships were necessary to make the operations of the two airlines proceed smoothly.


  Dr Chikumba said that successful airlines worldwide were pursuing strategic partnerships because of their viability and bail out options when things go wrong for one.

  “There have been challenges with the operationalisation of the two airlines and we feel if the two governments can see a need to correct things to finance and clear the debt, then the partnership will assist in running the operational costs,” he said.


  According to Dr Chikumba, the two governments are following in the footsteps of the few African countries in international partnerships, and want to tap into their experience.

  If realised, the partnership — which also includes joint aircraft spare parts purchase and exchange training programmes — will be the first major venture the airlines have collaborated in.


  The pooling of resources will also help absorb unit costs and increase the airlines’ revenue base.
   
 2. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa hawa wagonjwa wawili watasaidiana vipi?
   
 3. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ATCL!!!?? Damn no!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wakiacha politiking, watafanikiwa, kuliko kuungana na hawa kunguni (nyang'auz).
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mi naona asavali wakiachana na hao vimburu(Wachina), they are the worst employers ever in this planet. Hata makampuni ya kiamerika yaliyonunuliwa na Wachina, wafanyakazi wanajuuuuuuuuta kuwajua.Maana wamepunguza benefits na hata wages.
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hata kama mpango huo utakwenda mbele kati ya hawa wagonjwa wawili, Zimbabwe inae huyo Dr. Chikumba anaeelekea kujua anafanya nini; ngojea sasa usikie Air Tanzania itawakilishwa na nani!! Sintashangaa kama mkwere atamchagua mmoja kati ya marafiki wa Ridhwani waliotembeza nae fomu ya kuomba ufadhili kuwa ndio kinara wa ATCL. Matokeo yake itakuwa kuliwa tena kwani jamaa lazima atakuwa kilaza wa mambo ya ndege!! Waswahili husema n'gombe wa maskini hazai, akizaa dume!
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  remember; Air TZ na Air zimbabwe zote zito ICU heading to mochuari!!1nani wa kumbeba mwenzake?????
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ningeishauri serikali kama kweli ina nia ya kulifufua shirika letu la ndege ni lazima ije na mkakati ambao utalilihakikishia shirika kuwa litatoa huduma za usafiri na kupata faida. Mkakati realistic ni wa kuanza na ndege ambazo zitafanya safari za ndani tu mpaka hapo shirika litakapoimalika ndio lianze kufanya safari za nchi jirani na hapo baadae mungu akijalia shirika linaweza kufanya safari za masafa marefu. Huu mkakati wa partnership na air Zimbabwe hautafanikiwa kwani hauna tofauti na ule wa awali wa SAA!!
   
 9. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hawa watu wanaoitwa dr/prof kuwa mwangalifu nao sana
  kweli huyu jamaa anajua anafanya nini, mhhhh.......

  hizi ni habari zake kutoka google
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini wasiche HIiyo ATCL ife kifo kitakatifu na wapeleke fwedha nguvu na akili zao kwenye kufuafua shirika ;;a reli amabalo hasa ndiyo inaweza Kujenga prestige ya tanzania. Nakubaliana na wanaosema Hizi ni siasa.

  • reli inaziunganisha tanzania na RWANDA, BURUDI na UGANDA. Kwa nini gharama ya kusafiri bidhaaa kutoka kigali/bujumbura kupitia mombasa via Uganda. ni nafuu au haina usumbufu kama kupita tanzania .Kwa nini tusirekebishe hili iwe rahisi from kigali/bujumbura to dar . tumejitayarisha vipi kuwa na influnce kwa nchi za buruidni rwanda na uganda.
  Reli ina ajiri watanzania wengi zaidi kulko hata iyo ATCL

  • ATC inasafrirsha abiria wangapi witin tanzania? ATCL inaleta watalii wangapi .tanzania na hata wakiwekeza maximum investment sioni kitakachobadilika.

  Kifupi ATCL haina na haiwezi kuwa na economic impact kama ilivyo kwa shirika la reli.

  Sitashangaa hawa wachina wananyimwa shirika la ndege wanakuja kupewa Shirika la REli. Wich corporation is or can be a real backbone to tanzania economy.

  Kwa kweli binafsi nasikia kero nikiona ATCL twiga inalelewa kama mtoto isidondke huku reli inachezea na haipewi priority. nakereka kusikia ATC inapewa ruzuku kuliko Shirika la reli.

  Wizara ya Miundmbinu RELI RELI RELI Can bring the difference. mambo ya hewani wapeni wachina au waachieni Precission Air
   
Loading...