AIR BUS NYINGINE KESHO 11.1.19

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
Ndo ivo tu
FB_IMG_15471249238030392.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo nanii anaenda tena kuipokea na kupiga madongo?
..so hiyo itakuwa ya ngapi kuingia Africa?
Na je kuna nchi nyingine zinamiliki aina hiyo hapa Africa?
 
Kwa hiyo nanii anaenda tena kuipokea na kupiga madongo?
..so hiyo itakuwa ya ngapi kuingia Africa?
Na je kuna nchi nyingine zinamiliki aina hiyo hapa Africa?
1.Yaah kama kawa mzee mbishi madongo mwanzo mwisho.
2.Ya pili
3.Kwa sasa ni ATCL pekee,ila Egypt air nao wameagiza kiwandani,lkn bado hazijafika.
 
Mi sisemi kitu mpaka waje Zitto na Lissu kutudanganya otherwise, tumewazoea kwa habari zao za upotoshaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom