EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
1.Yaah kama kawa mzee mbishi madongo mwanzo mwisho.Kwa hiyo nanii anaenda tena kuipokea na kupiga madongo?
..so hiyo itakuwa ya ngapi kuingia Africa?
Na je kuna nchi nyingine zinamiliki aina hiyo hapa Africa?
ongezea:-Ndege izi zinanunuliwa cash au anakopa ???
Ni sh ngapi zinagharimu ???
Sent using Jamii Forums mobile app