Air bag light (flashes)

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
1,459
697
Ndg wanajf ambao ni mafundi, gari yangu toyota vitz jana ghafla tuu nikaona taa ya airbag ikiwaka kwa ku-flash. Je nn madhara yake kwenye gari? Na matengenezo yake ni nn? Gharama? Mwenye ufahamu aje PM please.
 
hiyo ni ishara kuwa kwenye mfumo wa SRS air bag kun a mahala kunatatizo mkuu?? so hapo kwa haraka fanya upate fundi akupimie au kama upo dar tutafutane nitakupimia buree kabisa .but kama kuna spare utagaramikia mwenyewe ila ofa ya bure ukija mwenge .ukisha pima ndio unajua tatizo ni nn na kulitibu inakuwaje kama kuna kitu kime kufa unabadili au kama ni fault ya kawaida una futa na maisha yanasonga
 
Nimekutumia PM
 
tatizo litakuwa kwenye steering wheel hapo.kunakuwaga na mkanda wa horn na airbag(spriral cable ya umeme),unaeza kuta una fault,ukifa kabisa hata horn utakuwa hupigi...best solution ni kuubadilisha..nenda garage watakupa solution.
 
Thanx bro
 
JAWABU MURUA KABISA!!!!!!!! kwingine utapoteza muda bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom