Aiport Nairobi wameharibu sanduku lngu kwa wizi

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Mwezi wa nne nilitokea sheli sheli kupitia Nairobi, wakati nafika hapa sanduku langu likawa halina mkanda niliokuwa nikiutumia kulikazia. Nilipofika nyumbani nilikuta sanduku limepekuliwa ile mbaya. Jana nimetokea hapo hapo Nairobi kuja hapa, sanduku langu wamelivunja na kuliharibu kabisa. Lakini nikitumia ndege za kufika dar bila kutua Nairobi mizigo yangu inafika salama.
 
Umepeleka malalamiko yako kwa uongozi wa airport au wakala wa ubebaji mizigo?
 
sii mara ya kwanza kwa shauri kama hili kuhusiana na uwanja wa ndege nairobi,ni wezi ile mbaya,kwa kweli dar wanajitahidi sijawahi kuibiwa hapo dar, mnaopitia nairobi kuweni sana macho.
 
tatizo hilo uwanja wa ndege kenya mbona lipo na wewe si wa kwanza kuibiwa...kumejaa wezi sana pale. usije weka laptop kwenye begi umeliwa.
 
Mwezi wa nne nilitokea sheli sheli kupitia Nairobi, wakati nafika hapa sanduku langu likawa halina mkanda niliokuwa nikiutumia kulikazia. Nilipofika nyumbani nilikuta sanduku limepekuliwa ile mbaya. Jana nimetokea hapo hapo Nairobi kuja hapa, sanduku langu wamelivunja na kuliharibu kabisa. Lakini nikitumia ndege za kufika dar bila kutua Nairobi mizigo yangu inafika salama.

hivi nbo io upande gan wa dar
 
Mkuu hii conclusion yako inanifanya nipate wasiwasi na post yako, ama wewe utakuwa ni mfanyakazi wa JNIA on a mission to reset the public minds on the long standing habit of stealing at JNIA, au umemiss point moja kuwa. Jamaa wa JNIA huwa wanaangalia ndege zenye connection ya Nairobi na kuiba kisha wasingizie kuwa mchezo huo umefanyiwa Nairobi. Kwa taarifa yako ni kuwa wizi wote huo hufanyika JNIA, kama huamini ndiyo hivyo. Hakuna Airport inayoongoza kwa wizi wa mizigo hasa wa kuvunja kwa Afrika mashariki kama Julius Nyerere International Airport. Nimeisha fanya connection nyingi Nairobi ila sijawahi kukumbana na kitu kama hii ya kwako ila JNIA wameshaniliza mara tatu.
 
Hofstede, nisemacho ni kweli tupu. Kwanini niseme uongo ili nimfurahishe nani? Kwa kuwa na wewe umeshalizwa hapa dar, basi natolione kuwa ni janga la wasafiri. Kwa hiyo tutafutiwe ufumbuzi. Nimekuwa nasikia tu lakini sasa sanduku langu kimeng'olewa kitasa, nafikiria kumwona manji key cutter anisaidie kulirekebisha. Tukubali kuwa viwanja vya ndege viakikishe mizigo yetu inafika salama. Mbona safari za mabasi mizigo inafika salama iweje mahali kama pale airport mizigo isifike salama?
 
wakenya wote njooni mshuki dar bwana kama hakuna usalama hapo maana vinginevyo mtapoteza sana mali zenu
 
Asante sana kwa kunipa pole. labda tuwe kama USA. No kufunga masanduku
 
Mwezi wa nne nilitokea sheli sheli kupitia Nairobi, wakati nafika hapa sanduku langu likawa halina mkanda niliokuwa nikiutumia kulikazia. Nilipofika nyumbani nilikuta sanduku limepekuliwa ile mbaya. Jana nimetokea hapo hapo Nairobi kuja hapa, sanduku langu wamelivunja na kuliharibu kabisa. Lakini nikitumia ndege za kufika dar bila kutua Nairobi mizigo yangu inafika salama.
kwahiyo tufanyeje?? tukawapige ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom