Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,806
- 4,215
Hahahaha usiombe ukutane na ticha wa maths alafu yupo shalow, tulikua tukimuona anakuja tunaambiana picha la kihindi linaanza sasa hiviMi nlishakoswa na dasta la kufutia ubao kwa kulala, lilipita juu ya kichwa kama radi
Hasa kwenye somo la hesabu, ilikua mishe, nlikua kama vile naangalia movie ya kichina bila subtitle