Aina za wanafunzi pindi swali likiulizwa darasani na mwalimu. Je, wewe ulikuwa yupi kati ya hawa?

Maxmizer

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
4,815
2,000
Mi nlishakoswa na dasta la kufutia ubao kwa kulala, lilipita juu ya kichwa kama radi


Hasa kwenye somo la hesabu, ilikua mishe, nlikua kama vile naangalia movie ya kichina bila subtitle
Hahahaha usiombe ukutane na ticha wa maths alafu yupo shalow, tulikua tukimuona anakuja tunaambiana picha la kihindi linaanza sasa hivi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom