Aina za sumu ambazo Madaktari hawawezi kuzitambua

kuna haina nyingi za sumu ambazo madaktari hawawezi kuzifahamu kilahisi, hata vipimo vyao haviwezi gundua.
1. Mjusi wa majumbani ule mweupe unaokula wadudu na unakaa karibu na taa, ukiuliwa ukakaushwa mtu akiwekewa kwenye maji au juice ni sumu mbaya ambayo inaua kwa miezi mitatu, inaingia kwenye uboho na kuanza kutafuna mifupa. Dalili mifupa itaanza kutoboka, kuvimba matezi, kuwa mwehu, kubabuka ngozi, upele na ukurutu.

2. Aina nyingine mbaya kuliko zote ni ya Damu ya kina mama wakiwa kwenye ezi, ile damu ya kwanza nzito sana ikikaushwa na kutiwa kwenye chai, juice, hiyo ulegea kabisa ndani ya mwezi mmoja, ukisalimika hata miezi miwili, hii uonyesha dalili zote za ukimwi. Hata uende upimwe wapi hawawezi kuona kitu.

3. Nyingine ni ya chura wale wakubwa sumu hii ukaa kwenye kimfuko fulani nayo hii ikikaushawa hakuna mganga wa kuilewa.

Ukitaka kujua aina ya sumu na madhara yake waulize WAKELEWE au WAZINZA.
Mwisho nahisia kuwa Mwakye huenda kapewa haian hiyo ya sumu maana waliotekeleza mipango hiyo walienda kwa mganga kule serous game kama ilivyoelezwa kwenye gazeti la Mwanaharisi la Mweziwa 2 mwaka 2011

ukitaka Sumu hiyo isikudhuru inabidi utafute mkojo wa mwendawazimu uuvundike siku mbili kisha kunywa.....ukiwekewa sumu hizo basi chombo ulichowekewa kitaanguka kabla hujakifikisha mdomoni......
 
sumu toka IRINGA.jpg Hii ni sumu made in IRINGA, ambako wamachinga wanauza mtaani, ni sumu ya ukweli na si ya kinafiki kama hizo za kunywa.
 
ukitaka Sumu hiyo isikudhuru inabidi utafute mkojo wa mwendawazimu uuvundike siku mbili kisha kunywa.....ukiwekewa sumu hizo basi chombo ulichowekewa kitaanguka kabla hujakifikisha mdomoni......

Mkuu naona umeshaanza utani!
 
Acha kueneza ushirikina hapa wewe!
Hivyo ulivyovitaja havina uthibitisho kisayansi.Damu ya akina mama unayoitaja hapo, hiyo sumu inatoka wapi?
Ubishi haufai,unafikiri ni kwanini tunakatazwa ku-sex na mwanamke aliye kwenye hedhi?go and try it halafu utatuhadithia.
 
Aisee jamani hawa wake zetu watatuua sana tu,maana unazidi kuwapa ujuzi kwa m/me kupata damu ya period kwa she ni ngumu,ndio maana kuwa makini sana na mkeo ukishaanza kupata hela kujenga nyumba kununua usafiri na vitega uchumi anaweza akakupoison then akasema anarudi kwao kijiji kusalimia kumbe ni gia ya kupoteza ushahidi.
 
Hata samaki kasa nae aweza kuwa sumu tosha, waulize wapemba watakuambia anavyowauwa, pili hapo juu kwenye bandiko lako bado sijaelewa uboho ndio kiungo gani kwenye mwili wa binadamu? ufafanuzi pls

Uboho ni maji maji mfano wa ulojo ambao unapatikana katikati ya mifupa, usaidia kukomaza mifupa. Ukipungua sana unashauriwa kula kongoro kwa wingi na mikia ya ng'ombe.

Kuhusu watu kulalamika kuhusu no. 2 ni kwamba watu wengi wanaolazimisha kufanya mapenzi wakati mwanamke yuko kwenye ezi ,wanakutana na magonjwa mengi sana, kwani matayarisho ya kujiandaa kutengeneza binadamu sio mchezo kunakutanisha vimelea vingi sana , hivyo vikiharibika usababisha hata mke kuumwa sana tumbo hata hivyo hakivitoa upata nafuu sana, hii uonyesha kuwa kaondoa sumu kali, sasa ikutanishe na hali ya hewa ya nje ndipo ubadilika kabisa.
Kama una mwanamke ambaye aliwahi kukuambia atakuua jiazali sana wakati wa ezi yake.
 
guys my friend she is toxicologist at oklahoma poison control center
nimemuuliza hayo maswali kanijibu moja na tatu it is true ila hiyo ya pili amesema atafuatilia
vile vile kasema kuna ile style ya kumchoma mtu sindano ya hewa kwenye mshipa upelekao damu kwenye moyo nasikia nayo haiwezi kugundulika
 
Tajeni aina za sumu za kienyeji na dalili zake ili tuwaokoe wapemba- Zanzibar, wakala na Wakelewe Ukerewe Mwanza na Wazinza Bumbile na kome hadi kwa magufuli chato hawa wavuvi wengi uuana kwa njia ya sumu za kienyeji, hizi za kwenu za kisayansi hawana kabisa, msipuuzie ya mwakyembe yaweza kukuta na wewe, jiadhali na bifu
 
kabla ya kula au kunywa kwanza sali,omba Mungu akibariki hicho unachokula au kunywa.. hata kama kiliwekewa sumu pasipo wewe kujua,haitakudhuru, labda Mungu awe ameruhusu huo ndio mwisho wako.
 
Uboho ni maji maji mfano wa ulojo ambao unapatikana katikati ya mifupa, usaidia kukomaza mifupa. Ukipungua sana unashauriwa kula kongoro kwa wingi na mikia ya ng'ombe.

Kuhusu watu kulalamika kuhusu no. 2 ni kwamba watu wengi wanaolazimisha kufanya mapenzi wakati mwanamke yuko kwenye ezi ,wanakutana na magonjwa mengi sana, kwani matayarisho ya kujiandaa kutengeneza binadamu sio mchezo kunakutanisha vimelea vingi sana , hivyo vikiharibika usababisha hata mke kuumwa sana tumbo hata hivyo hakivitoa upata nafuu sana, hii uonyesha kuwa kaondoa sumu kali, sasa ikutanishe na hali ya hewa ya nje ndipo ubadilika kabisa.
Kama una mwanamke ambaye aliwahi kukuambia atakuua jiazali sana wakati wa ezi yake.

Mwanamke aumwi tumbo kwasababu eti hiyo damu ni sumu. Sasa tunaishije na hizi sumu za kila majira? au tumekuwa nyoka? Kwanini zisituue sie wenyewe kwanza?
Baadhi ya wanawake wanaumwa matumbo kutokana na matatizo ya mirija ya uzazi waliyonayo.
Mkuu unaonekana unapenda kuongea vitu vya kuambiwa bila kufanya utafiti?
 
nafikiri kitu chochote kikitumika pasipo stahili chaweza kuleta madhara.ya.moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa.moja. Ile damu sio kwa ajili ya oral consuption huenda ukiitumia ikaleta madhara yanayo semwa na mtoa mada.
 
Kuna yeyote aliyewahi kufa kwa sumu hiyo? inaweza leta madhara ya kiafya ila sio kuwa sumu ya kuua mtu.
 
Inatisha! sasa mkubwa wangu nadhani lengo la kuweka hoja hii hapa ni kujaribu kusaidia jamii kujua kuwa hivi ndivyo wabongo washirikina tunavyoondoana duniani! Sasa shauri basi ni namna gani mtu akihisi kaathirika kihiviyo afanye nini!

Sasa hao wanzagi walizijuaje simu hizi?
 
Mwanamke aumwi tumbo kwasababu eti hiyo damu ni sumu. Sasa tunaishije na hizi sumu za kila majira? au tumekuwa nyoka? Kwanini zisituue sie wenyewe kwanza?
Baadhi ya wanawake wanaumwa matumbo kutokana na matatizo ya mirija ya uzazi waliyonayo.
Mkuu unaonekana unapenda kuongea vitu vya kuambiwa bila kufanya utafiti?

Wewe mwanamke ambaye hana jina kweli jina lako linasadifu uelewa wako, Je wajua kuwa hata kinyesi ni sumu? mkojo , hata jasho? unajua kontent ya alcaline au unajua kuwa hata damu ya mtu mwingine ukiwekewa kama haifanani unakufa? kweli wewe umesoma sayansi ya viumbe? tafuta mchanganyo wa vimelea vya uzazi uone mchanganyo wa kemikali za kutisha zilizomo, kuna kemikali nyingi muno, unatakiwa kuwa na vina saba vya damu yako ukaipime ndio utajua kama ni sumu au vipi, kama ni uongo vuata taratibu, waandae ndugu zako kuwa utajalibisha kitu fulani wawepo karibu kwa ajiri ya kupewa wosia kuwa sumu haijaribiwi. Aidha utanibishia kuwa hata kuku akiwa anaatamia mayai hana sumu, sumu ziko sehemu nyingi, hata mdomoni ukiuacha ukachacha siku tatu, ukimuuma mtu ni lazima paoze.
 
Acha kuropoka vitu visivo na msingi. Mada iko wazi. Kama una pinga, toa hoja. Muda mwingine jaribu kuact kama una akili.... ukimind katafute malimao......Turudi kwenye mada...
Sumu tunayoongelea hapa ni aina gani?
 
Nyingine inaitwa ricin ni hatari kuliko sumu zote,ndio ile ilotumika kumuua mwandishi wa urusi alipokua exile ubelgiji.
 
Back
Top Bottom