Aina hii ya simu, nikiagiza haziwezi kuleta shida bongo?

Screenshot_20200711-120344.png
 
Agiza tu mzee ili na sisi tupate uhakika kama itakuwa kweli inakiwango hicho kwa hiyo bei... 4RAM 64GB
10000mh
 
Wadau nimetembelea mtandao wa Ali Express kuna simu mbalimbali nimeziona kule na kwa bei nzuri simu kama qukutel n.k.

Je, nikiagiza haziwezi kuja kuleta shida bongo au tayari jamaaa washaiweka katika access ya nchi zote duniani?

Wajuvi nawaomba hapa kwa msaada zaidi
Vimeo mkuu soma comments za clients simu unakua kiliachoandikwa sicho labda ununue brands za kueleweka kama xiomi, huawei n.k
 
Vimeo mkuu soma comments za clients simu unakua kiliachoandikwa sicho labda ununue brands za kueleweka kama xiomi, huawei n.k
Ngoja labda tuendelee kupata elimu kabla ya kufanya maamuz lkn nadhan dunian bado kuna cm nzur sn zaid ya tunavoaminishana na hta hao xiomi sidhan kama mwanzon watu walikua wanazinunua lkn walivotokea watu wachache na kuzinunua ndio sifa zikaanza miminika
 
Soma reviews maana mimi naagizaaga vitu aliexpress, reviews ni muhimu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom