Aina za mapenzi.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nampenda kila mtu,wengine napenda kuwa karibu nao,wengine napenda kuwakwepa,wengine napenda kuwapiga ngumi za uso hahaha!
 
Good night shemeji uporoto. Hapa nimetoka kapa, sijajua wazungumzia nini. Nisalimie husni popote alipo.
 
Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Mbona hapa mnaoongea mnaonekana wote familia moja? Mama mkwe, mume na mkwe, king'ast sijui ndo wifi mweeeeh...
Hahaha! wala usiogope tumefahamiana humuhumu ki-keyboard wengine tumepata wake,wakwe na mashemeji na hatujawahi kuonana hata siku moja,ni maisha ya kufikirika zaidi lol!
 
Back
Top Bottom