Good night shemeji uporoto. Hapa nimetoka kapa, sijajua wazungumzia nini. Nisalimie husni popote alipo.
son,kweli tulikufundisha upendo. wanasema dont do anything without a passion,lol!
Lol....mshauri alale, manake ameandika kiswahili hakieleweki....au ni shairi husni?yaani hapa kama hujaelewa utoke kimya kimya. Lol.
Darling wangu ana hangover sahz
Ukisikia kujipendekeza kwa mamkwe ndo huku sasa...toka lini umekuwa malenga wa jf? King'asti kazi anayo..lolhakika umezaa, kwa son wako nimetua nanga. Lol.
sijambo,kumbe sijarudi home toka jana ? namalizia nyagi ya mwisho nakuja sasahivi.Heeee! Mpenzi mambo?
Hahaha! hujambo shem,ulinichekesha sana ulivyoguswa na msiba ule wa complaints juzi lol!Ukisikia kujipendekeza kwa mamkwe ndo huku sasa...toka lini umekuwa malenga wa jf? King'asti kazi anayo..lol
Hahaha! thanks mom.son,kweli tulikufundisha upendo. wanasema dont do anything without a passion,lol!
hayo unayosema si ya uchagani ? mkoani Mbeya kuna milima(sijakosea) inaitwa Uporoto.Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
yaani hapa kama hujaelewa utoke kimya kimya. Lol.
Darling wangu ana hangover sahz
Ukisikia kujipendekeza kwa mamkwe ndo huku sasa...toka lini umekuwa malenga wa jf? King'asti kazi anayo..lol
Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hahaha! wala usiogope tumefahamiana humuhumu ki-keyboard wengine tumepata wake,wakwe na mashemeji na hatujawahi kuonana hata siku moja,ni maisha ya kufikirika zaidi lol!Mbona hapa mnaoongea mnaonekana wote familia moja? Mama mkwe, mume na mkwe, king'ast sijui ndo wifi mweeeeh...