Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 528
- 123
kuna mzee kichwa sana ndani ya malumbano ya hoja ITV, amewa group police wetu katika makundi manne, MOJA ni wenye usiri na akili ya nyerer, PILI ni wadini wenye akili za umwinyi, TATU wenye uandishi na wasomi wenye umkapa sana na NNE akumalizia na amecheka sanaaaaaaaaaaaaaaa