Aina za askar ndani ya jeshi letu -askar mstafu.

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
kuna mzee kichwa sana ndani ya malumbano ya hoja ITV, amewa group police wetu katika makundi manne, MOJA ni wenye usiri na akili ya nyerer, PILI ni wadini wenye akili za umwinyi, TATU wenye uandishi na wasomi wenye umkapa sana na NNE akumalizia na amecheka sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Punguza viroba mkuu, vitakuuwa! sasa hapa ndiyo umeandika nini, au ndiyo umetumwa na padri wenu Slaa?
 
kwani ni uongo wenye akili za ukikwete aka kova kazi kutoa mimacho kama jamabazi
kuna mzee kichwa sana ndani ya malumbano ya hoja ITV, amewa group police wetu katika makundi manne, MOJA ni wenye usiri na akili ya nyerer, PILI ni wadini wenye akili za umwinyi, TATU wenye uandishi na wasomi wenye umkapa sana na NNE akumalizia na amecheka sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Punguza viroba mkuu, vitakuuwa! sasa hapa ndiyo umeandika nini, au ndiyo umetumwa na padri wenu Slaa?

unanalo hili, likilala na kuamka ni slaa tuuuu, angali atakuwekea siku mmoja, hoja ni askar wa sasa walivyo wewe unawashwa na u slaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom