Aina ya wanaume ambao wake zao wanakereka kuwa nao

basi mkitusema mnaona mmetuwezaaaaaa hahah hahah, "wanaojifanya", "wanaojiona" kama huko sio kulalamika sijui kingine ni kipi

ahha kwahyo hupend kuambiwa usifanye hili na hili ? yaan tukae kimya tu !hv kuna raha gan kuishi na mwanaume ambaye hata kubadilisha bulb tu hawezi anakuambia amechoka !nisiseme na hili ! ati utajirekebisha tu mara sijui malezi!alafu ukute wewe ndo mrefu hapo hom wengne short chasis
 
dahh your one tough woman, i like challenge, now your speaking as a grow up woman. yeah muwe mnasema. Sio kwamba hatupendi kuambiwa, ila ukiniambia hayo mabaya yangu usisahau na mazuri yangu pia along the way, yaani ilo baya moja halifuti mazuri yangu ya nyuma, hata ivo kupishana ni kawaida kwenye mahusiano, labda wote watakatifu. so unasema naskia linapita
 
Endeleeni kutuchambua tu...........

Kuna nchi wanaandamana wanaume waoe zaidi ya mke mmoja maana wanaume ni wachache na wanawake ni wengi.

Kwa kasi ya ushoga inavyoendelea TZ soon na nyie mtaacha kuchambua , mtaanza kuandamana.
 
dahh your one tough woman, i like challenge, now your speaking as a grow up woman. yeah muwe mnasema. Sio kwamba hatupendi kuambiwa, ila ukiniambia hayo mabaya yangu usisahau na mazuri yangu pia along the way, yaani ilo baya moja halifuti mazuri yangu ya nyuma, hata ivo kupishana ni kawaida kwenye mahusiano, labda wote watakatifu. so unasema naskia linapita

haya nimekupata ! mpende/mjali mkeo
 
Back
Top Bottom