Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 177
Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning room, public toilet, jiko, stoo
Kuna baadhi ya wadau walinishauri niweke mm12 mzunguko wa nje na mm10 mzunguko wa ndani pia kwenye nguzo nisuke tatu (sambusa) mm12 au nne mm10
Naombeni ushauri wenu natambua wapo wazoefu wa masuala ya ujenzi
Asanteni