Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio yote wamekosa kikosi imara na sahihi cha kuendana na mfumo huo kitu kinachopelekea timu kuonekana inacheza hovyo hovyo na kupata matokeo ya kubahatisha(mpapatu papatu),aidha kwa miaka mingi yanga imekua inapata wachezaji ambao uwezo wao ni mdogo wengine hata kupokea mpira ni shida,kupiga pasi sahihi na eneo sahihi,kwa wakati sahihi ni shida achilia mbali uwezo wa kuliona lango,uwezo wa kukimbia na mpira(dribling).

Hivyo basi niwakati mwafaka uongozi wote kwa ujumla kuja na mbinu nyingine ya uchezaji ambayo itaendana na aina ya wachezaji waliokua nayo na kila kocha atakae kua amepewa kandarasi kukinoa kikosi lazima aufuate huo mfumo hata kama atakua na mbinu zake lakini zisicheze mbali na mfumo huo.Timu imekua haina uwezo wa kumiliki mpira kitendo kinachopelekea hata pale timu inapokua imetangulia basi hupoteza umiliki mpira na kuipa faida timu pinzani ya kurudisha mashambulizi hatimae mechi zingine magoli yamekua yakirudishwa na hata kufungwa.Kwa misimu mitatu mfululizo yanga wamekosa ubingwa kutokana na udhaifu wao wa kutokumiliki mpira.Timu imekua ikiongoza lakini inapoteza umiliki,kikosi dhaifu hata kufunga magoli mengi hawawezi kisha timu pinzani inachomoa mpira unaisha suluhu.Kwa maana hiyo kwa nini tusitumie pasi fupi fupi kuliko hizi pasi ndefu ambazo hazina macho.
Huyu nae sijui wa wapi huyu...!!! hawa ndo walokuja mjini na mbio za Mwenge
 
Kocha wa Utopolo amesema baada ya miezi 3 ndio timu itakuwa imekamilika, kwani miezi 3 imetimia?

Sasa hivi wana kama mwezi 1 wanatisha, je ikifikisha miezi 3 si itakuwa hatari.

Nina wasiwasi uko baadae Boss Mo atatukimbia na mbaya zaidi sasa hivi Hans hayupo sijui tutaficha wapi sura zetu!
loading..
 
ukitanguliza ushabiki mbele kama huo wako wala huwezi kuelewa nini lengo la maada,na wala wewe sio shabiki bali hata hujui unachokishabikia ni nini,wewe ni bendera fuata upepo ambae timu ikifungwa mtaani ukataniwa basi unaishia kurusha ngumi, in short ni hivi endapo yanga ingekua na uwezo hata wa kumiliki mpira angalau kwa dakika hata 10 basi mpaka leo ingekua imesonga mbele kwenye michuano ya kimataifa lakini kwakua watu kama nyie ndio mliojaa kwenye timu basi acha tu sisi wachache tuendelee kuteseka huku nanjilinji siku mkija kuamka basi mmekaa miaka kumi bila ubingwa huku kila mwaka mkiaminishwa eti mwaenda chukua ubingwa,eti kwakua basi mmemfunga simba ngao ya jamii basi unaona na ubingwa utachukua.
Kwahiyo timu isisemwe kama haifanyi vizuri kwakua sisi sio tunaolipa mshahara fala kweli wewe,matokeo tukose basi hata burudani ndani ya uwanja tukose yaani full vanga vanga tu.Utafikili ni kikundi flani mtaani wameokotana huko twende tukacheze mpira.
Una kamasi kichwani sio ubongo huo ...
 
Wote tuwape mda bado mapema sana tuiache mvua iendelee kunyesha ili tuweze kuona panapovuja aiseeeee ila yanga wakk slow sana second half wanakata upepo hawana kiungo mbunifu viungo wao wengi ni box to box mido ndo maana wakikutana na mido za team pinzani znazojua kucheza kwa kuacha shimo wanahangaika sana kama leo wameonekana wana viungo ambao ni box to box sana ambao hawawez kucheza widely
 
Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio yote wamekosa kikosi imara na sahihi cha kuendana na mfumo huo kitu kinachopelekea timu kuonekana inacheza hovyo hovyo na kupata matokeo ya kubahatisha(mpapatu papatu),aidha kwa miaka mingi yanga imekua inapata wachezaji ambao uwezo wao ni mdogo wengine hata kupokea mpira ni shida,kupiga pasi sahihi na eneo sahihi,kwa wakati sahihi ni shida achilia mbali uwezo wa kuliona lango,uwezo wa kukimbia na mpira(dribling).

Hivyo basi niwakati mwafaka uongozi wote kwa ujumla kuja na mbinu nyingine ya uchezaji ambayo itaendana na aina ya wachezaji waliokua nayo na kila kocha atakae kua amepewa kandarasi kukinoa kikosi lazima aufuate huo mfumo hata kama atakua na mbinu zake lakini zisicheze mbali na mfumo huo.Timu imekua haina uwezo wa kumiliki mpira kitendo kinachopelekea hata pale timu inapokua imetangulia basi hupoteza umiliki mpira na kuipa faida timu pinzani ya kurudisha mashambulizi hatimae mechi zingine magoli yamekua yakirudishwa na hata kufungwa.Kwa misimu mitatu mfululizo yanga wamekosa ubingwa kutokana na udhaifu wao wa kutokumiliki mpira.Timu imekua ikiongoza lakini inapoteza umiliki,kikosi dhaifu hata kufunga magoli mengi hawawezi kisha timu pinzani inachomoa mpira unaisha suluhu.Kwa maana hiyo kwa nini tusitumie pasi fupi fupi kuliko hizi pasi ndefu ambazo hazina macho.
Watema mate mtakuwa wengi sana msimu huu
 
Kidogo saiv mpira tunaanza kuuona sio zile vurugu tulizokua tunashuhudia kwa msimu ulioisha,team hata kupiga pasi 2 haiwezi halafu eti inataka ubingwa hopeless kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom