Aina ya magorofa kwa kila wizara katika mji wa serikali Dodoma ndio utaamua muonekano wa mji huo wa serikali

Ni matumizi mabaya ya akili na fedha za umma kujenga mji wa serikali - makao makuu ya serikali na ofisi zote za Wizara na idara muhimu ukazilundika sehemu moja!
Huko tuendako tutakuja jutia haya maamuzi...
 
Legacy kubwa ya Rais Magufuli ni kifungo cha Sabaya. Kufungwa kwa Sabaya miaka 30 jela, naye akieleza kuwa yote aliyokuwa akifanya aliagizwa na Rais Magufuli, ni sawa na kusema marehemu amehukumiwa miaka 30 jela.
 
Back
Top Bottom