Aina nyingine ya utapeli kwa walimu tarajali

joseph mzuma

Member
Dec 31, 2015
58
50
Leo asubuhi nimeamka nikajiandaa kufanya mambo yangu mara simu inaita chumbani wife akataka kuipokea akakuta namba ngeni akawa ameacha kuipokea kutokana na taratibu zetu za maisha nilipo kuwa huru nikaamua kumtafuta aliye piga nikakutana na njemba nikajitambulisha anielewe naye akajitambusha et ni moja ya watumishi wa TAMISEMI.

Wapo wanapanga ajira za walimu wa sayansi batch ya kwanza akanituhumu kwa nini vyeti vyangu nimevituma bila kuvicertify mahakamani? ivo nisipo kuwa tayari kwa kile atakachosema sitapangwa batch 1

Ni kamskiliza na kumpa nafasi anipe mengi akasema mikoa iliyobaki ni mkoa wa mwanza, iringa na dar ivo akanitaka niwe tayari kwa lolote nikamwambia sema nini unataka kifanyike nisikose akasema usijali utapata laki 3 mda huu nifanye mchakato? nikamwambia usjali dodoma uko sehemu gani nikuletee mdaa akasema si unajua takukuru? nikamwambia basi sawa kila rakheri.

Walimu daraja wa sanaa na sayansi kuweni makini na utapeli huu hasa kipindi hiki cha mpito kuna watu walalizwa
 
Swali kwako; Je ni kweli ulituma vyeti na havikuhakikiwa mahakamani?
 
Back
Top Bottom