Aina mpya za mikanda ya gari kwa familia tata... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aina mpya za mikanda ya gari kwa familia tata...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Wilbert1974, Jul 4, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  seat belt.jpg

  Hapa hakuna MTORI... Ni safari tu kwa kwenda mbele.
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Umetisha hapa hakuna stori. Shida ni kuwa kwa safari za mbali kama husemeshwi unaweza kuzinzia kwa urahisi zaidi.
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  duuh inapatikana wapi hiyo mkuu?
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hii nzuri , itamdhiti wife wangu , maana ni kipere sana, njia nzima yeye ndo man of the match , mara ooooh mbona unaangalia wanwake pembeni , mara punguza mwendo , mara hoo tunachelewa nyumbani , for sure hii inanifaa
   
 5. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  We ni PM nikuelekeza ilipo hii mikanda
   
Loading...