Aina ipi ya uzinzi ni tamu zaidi?

Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
656
856
1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku

2. UZINZI MATAWI YA KATI, mfano mnaenda kufanyia uzinzi kwenye lodge,gest za dau dogo kuanzia tsh 5000 hadi tsh50000 kwa siku , munaweza toka mkoa flani mkaenda mkoa mwingne kufanyia uzinzi

3. UZINZI CHOKA MBAYA, hapa munanyaduana kwenye vichaka,msituni,uso wa dunia(katikati ya barabara ya rami), uchochoroni,juu ya mti, kwenye magofu ya nyumba,mashimoni,uvunguni,madarasani kwa wanafunzi,kwenye vilimbweta kwa wanachuo,jikoni,kwenye mabanda ya kuku,mabanda ya ng'ombe,mbuzi,kondoo,mtaroni,chini ya madaraja au ndani ya kalavati,ofisini,mapangoni.

Aina ya uzinzi ya kipekee ambayo huathiri bongo za wanawake wengi ni uzinzi choka mbaya, hakika aina hii ya uzinzi tuidumishee why??

Aina hii ya uzinzi inatengeneza upekee wa mazingira(upya wa mtu, unaonekana new japokuwa kiukweli unakuwa huna upya wowote) kumbuka woman don't want meeting identical man daily , because her desires,feeling,wants,needs and who she desire changes depending where she is in her menstrual cycle,so inakuabidi wewe mwanaume ujiweke katika hali ya upya kwa mke wako kila kukuchapo haimanishi ujibadilishe sura hapanaa, ndo kama hapo mfano wa kubadili mazingira ya kunyanduana, mfanye akuone mpya kila siku mfano,

Kwa vile siku ya sikukuu kumezoeleka watu husherekea sikukuu zao kwenye kumbi za starehe ,beachs,kualika wageni nyumbani mnajumuika mnakula pilau na vinywaji, sasa wewe andaa chakula chako na vinywaji vya wewe na mke wako, kama unausafili itapendezaa, mwambie ajiandaee mnatoka usimwambie mnaenda wapi , chukua misosi yenu tia kwenye gari, safiri nae hadi maporini itapendeza mapori hayo uwe umeyasavei kabla ili kuwa na uhakika wa privacy, mkifika huko nazani mke atashangaa sana atakuwa anajiuliza tangia kuzaliwa hajawahi kusherekea christmas maporini pasipokuwa na watu, basi pigeni mapicha ya kutoshaa, mukimaliza kuleni misosi yenu, mkimaliza mnyandue all techniques you acquired from profesa john(recture chuo kikuu cha porn), mmalizapo jioni siku ikiwa inaelekea kuishaa rudini nyumbani, mkifika home ogeni nyote nazani utakuwa umetengeneza kitu kinaitwa AFFECTION , sawa na emotional bond,utakuwa umekuwa mpya tena kwa mke wako.
 
Sawa nakubaliana na wewe pia

IMG_20210923_173637.jpg


IMG_d1o8ec.jpg


IMG_20211002_084854.jpg


IMG_20210917_124401.jpg
 
Back
Top Bottom