BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 71
Kuna aina nyingi za sabufa zimeingia tz aina ipi ni bora na inadumu wakuu.
Kuna aina nyingi za sabufa zimeingia tz aina ipi ni bora na inadumu wakuu.
Sabufa aina ya CHADEMA ndiyo inayopiga makelele yabkutosha.
Ntafte nna home cheap theater full automatic
KWANZA HATA SIJUI ndio nini?
ndio sub woofer
Sabufa aina ya CHADEMA ndiyo inayopiga makelele yabkutosha.
oh hapo sawa...
Kama ni kwaajili ya gari chukua KENWOOD ila Kwa matumizi ya kawaida tafuta mingo zipo vizuri pia bei ni ya wastani
View attachment 98533
View attachment 98534
View attachment 98535